Recent content by Daudi Godfrey

  1. Daudi Godfrey

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hatari hii hadi ukuni juu hapa
  2. Daudi Godfrey

    CCM chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan iko imara kuliko kipindi chochote

    Labda kama unaishi Sayari tofauti na hii lakini kiuhalisia Ccm kwa sasa hali ni mbaya hamna mvuto tena kama kipindi cha Mzee JPM
  3. Daudi Godfrey

    Natafuta Kazi nipo Mbeya

    Samahani kwa kukusumbua ndg yangu...Kichwa kikijaa mambo mengi hayo hutokea ila naamini umeelewa hitaji langu kama huwezi kunisaidia usinishutumu kwa kuwa sijafanya kama ulivyotaka.Asante
  4. Daudi Godfrey

    Natafuta Kazi nipo Mbeya

    Asante mkuu nitakupa mrejesho
  5. Daudi Godfrey

    Natafuta Kazi nipo Mbeya

    Asante nitajifunza naamini wakati mwingine nitaandika kwa ubora zaidi
  6. Daudi Godfrey

    Natafuta Kazi nipo Mbeya

    Sawa hamna shida kikubwa kama umeelewa inatosha sio lazima tufanane rafiki...Ungenifundisha namna nzuri ya uandishi kuliko kunidhihaki ingenisaidia kuliko haya uliyoandika...Ila nashukuru kwa kujali
  7. Daudi Godfrey

    Natafuta Kazi nipo Mbeya

    Namba zangu za simu ni 0783060791
  8. Daudi Godfrey

    Natafuta Kazi nipo Mbeya

    Asante kwa kunisaidia ndugu...mimi nina cheti cha ufundi wa umeme wa majumbani
  9. Daudi Godfrey

    Natafuta Kazi nipo Mbeya

    Habari wakuu, Mimi ni kijana wa Kitanzania nina cheti ninatafuta kazi yoyote ili niweze kuendesha maisha yangu maana hali so shwari kabisa. By Daudi Haule
  10. Daudi Godfrey

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Masihara masihara unaukwaa
  11. Daudi Godfrey

    Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

    Kama alikusamehe msamehe pia maana usilopenda kutendewa usiwatendee wenzako pia
Back
Top Bottom