Recent content by daud salehe

  1. D

    JamiiForums Tanzania Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hapo rangitatu ni shida awo kuwatoa sijui inashindwa nn na vifolen vya ajabu ajabu vinasababishwa na hao wanaopanga vitu barabaran na kero Kwa wapita njia na mwendokas ikianza sijui itakuaje
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ajira portal wana cha kujifunza kwenye mfumo wa maombi ya ajira wa magereza.

    Kumbe Kuna sehemu ya kujaza kufanya usaili pindi unapojaza taarifa ?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

    Hii neno kaka nahis hivo jamaa limemkuta hivo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 29 Sina mke Wala mtoto

    Dah mzee ukiona uwez shauri Bora uachanayo post kuliko kukoment ujinga
  5. D

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 29 Sina mke Wala mtoto

    Ndy mana nikasema labda wanawake awataki kunizalia tu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 29 Sina mke Wala mtoto

    Nashukuru Kwa hilo nikiangalia umri unavyoenda na Bado cielew na nikiangalia washikaji wanaoa na watoto najiona nachelewa sana
  7. D

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 29 Sina mke Wala mtoto

    Siyo udomo zege mzee labda pesa ndo Sina na ndo mana wanawake awatak kunizalia
  8. D

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 29 Sina mke Wala mtoto

    Ety kuwa na wajukuu mchawi kipato mzee
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho kinafanya usirudiane na ex wako hadi sasa?

    Siwez kurudiana na ex
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    Mwanamke uishi Naye Kwa akili mana hawaeleweki
  11. D

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 29 Sina mke Wala mtoto

    Kama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Maisha ya kazini ni unafki tu
Back
Top Bottom