Recent content by Daud Hassan

  1. Daud Hassan

    Funga domo lako kama unataka kuishi ukirudi Saudi Arabia

    Maneno mengi yanini? Lete Ushahidi wa hayo madai yako
  2. Daud Hassan

    Funga domo lako kama unataka kuishi ukirudi Saudi Arabia

    Lete Ushahidi wa haya madai yako
  3. Daud Hassan

    Funga domo lako kama unataka kuishi ukirudi Saudi Arabia

    Aisee wewe unakichaa ?? Mbona unwatetea wauaji wa kashoggi
  4. Daud Hassan

    Funga domo lako kama unataka kuishi ukirudi Saudi Arabia

    Uislamu upi huo wa kuchinja watu ??
  5. Daud Hassan

    Funga domo lako kama unataka kuishi ukirudi Saudi Arabia

    Hawana uislamu wowote Wanaishi kiarabu tu kishenzi kabisa wajinga hawa
  6. Daud Hassan

    Funga domo lako kama unataka kuishi ukirudi Saudi Arabia

    Waturuki wakipewa pesa tu watatulia raisi wao anapenda pesa na umaarufu kupita maelezo.
  7. Daud Hassan

    Je, kuna mtu anaamini kwamba Marekani itamuiadhibu Saudi Arabia kwa mauaji ya Khashoggi?

    USA kumuadhibu saudia ni sawa na mkulima kulitelekeza shamba lake lenye mazao mengi yaliyo tayari kwa ajili ya kuvunwa. In a nutshell won't happen
  8. Daud Hassan

    Israeli strikes in Syria

    Pumba tupu
  9. Daud Hassan

    Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

    Hili tukio lingekua amefanya Syria au Iran naona mpaka kufikia mda huu USA TAYARI WANGESHAPELEKA MANOWARI PALE MEDITERRANEAN NA KUSHUSHA TOMHAWKS MISSILES KAMA ZOOTE HIVI KABLA HATA YA KUSUBIRI UN SECURITY COUNCIL MEETING. Hii dunia haina haki kabisa
  10. Daud Hassan

    Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

    Mwili tayar umepatikana mkuu
  11. Daud Hassan

    Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

    Uturuki anatumia hili tukio kama fursa ya kupata mabillioni ya dola kutoka saudia ili afiche baadhi ya Ushahidi wa tukio hili kwani mpaka leo hajatoa ile audio na video kama wenyewe walivyodai kuwa wanazo hapo awali lakini upande wa pili huku Qatar anamsukuma uturuki atoe UKWELI wote wa hili...
  12. Daud Hassan

    Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

    Hakika kwani utajiri wa marekani unategemea wayahudi na waarabu(UAe,qattari, Jordani,Saudis,n.k) tu hivyo kamwe USA HAWEZI KUWAACHA wayahudi au waarabu lazima atawalinda tu
Back
Top Bottom