Recent content by Database

  1. D

    Mkapa above the law?: Allegations

    Sioni sababu ya msingi itakayolizuia kanisa lisipokee sadaka ya Mr.Clean. Mr.Clean hakuitwa ka kanisa kutoa sadaka. Pole sana ulipata mafunzo ukiwa primary? Biblia unayoitumia wewe ni ipi?na mstari upi?Kuwa makini,unajua hata Gadafi ana bible yake feki. Hakuna kanisa lenye...
  2. D

    Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    Ombi langu kwa viongozi wahusika "vitambulisho hivi wapewe watz wenye asili ya kiafrika tuu(watz halali+halisi)".Wazungu,Wahindi,Waarabu na Wachina,n.k,wasipewe tafadharini wandugu(someni alama za nyakati).
  3. D

    Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    Naam wakubwa!! Ni wazo zuri kuwa na identity kwa kila mtanzania,lakini "Ni mtanzania wa aina ipi atakae pewa hiyo identity?" Ushauri wangu kwa serikali,Historia inaonesha Tanzania ni nyumba ya kuponea wakimbizi,imejaa wageni wanaishi free kuliko hata ya kuku wa jadi kule Rombo.Ili kuepuka...
  4. D

    Ubaguzi uliotia fora.

    Hi Wakuu Ninasikitika sana,jamii hii ya JF,kuna baadhi ya watu wamekuwa wakitumia nafasi zao kubishabisha,na kukashfu hoja za msingi na mifano halisi ya ubaguzi wachache tuliyobahatika kuushudia ktk jamii yetu ya kitz. Kipande nilichowapa ni ukweli niliushuhudia mimi mwenyewe,na si hadithi ya...
  5. D

    Ubaguzi uliotia fora.

    Mwafrika wa Kike hongera!!!!!!!!! Hujaenda tuuu,kusugua magoti kuomba dua zako chafu,ili wasemao ukweli wasiendelee kusema ukweli? Pole sana,nakuombea MUNGU uwe hai,ushuhudie mabadiliko yatakavyofanyika. "Dada mrembo,usilolijua ni kama usiku wa giza" Mkizidi kupinga kana kwamba ninyi si...
  6. D

    Ubaguzi uliotia fora.

    Wana JF naona mnamshambulia mukombosi kama mpira wa kona. Siamini kama kuna kiumbe amabacho bado hakiamini kuwa wazenj + baadhi ya waislamu ni wabaguzi. Kuleni basi kijipande cha muhogo dume hapo chini: "Tukiwa ndani ya chaguzi moja maarufu hapa tanganyika(dodoma),kati ya wagombea...
  7. D

    R.Mengi for President?

    Honest?uwezo kisiasa?experience?............. Watanzania lazima tubadilike,tumekuwa tunawabagua sana wachaga kuwapa nafasi za juu ktk siasa(mfano mzuri Mh.Mrema alidondoshwa na hao mnaawaita wana experience,mahonest,wene uwezo kisiasa,n.k).Mengi na wachanga wengine wote wene uwezo amkeni...
  8. D

    Ubaguzi uliotia fora.

    Ceeque Nasikitika kwa kutojua mukombosi ni mtu gani. Usitie hofu,ni waziri wako ajaye. Atakubagueni vilivyo. Hahahahahhaahahhaahahahahahh
  9. D

    Ubaguzi uliotia fora.

    Rubani naomba nikusahihishe kidogo si miaka ya 60 Waliofukuzwa chuo kikuu ilikuwa awamu ya Mzee wa Ruksa akiwa madarakani. Baadhi ya wasomi walinasa nyuzi juu ya kamchezo fulani(kama kangefanikiwa tz isingekuwa kama ilivyo sasa) ka kisanii zaidi.Walipohoji kwa undani zaidi,ikabidi game...
  10. D

    Ubaguzi uliotia fora.

    Kulikoniiii?????????!!!!!!!!!!!!! Duuuuhh,Rubani unatisha,menikumbusha mbali munoooo. Sababu ya wazee wa sasa(waliokuwa wanachuo miaka ile) kufukuzwa chuo kikuu ilibeba mengi,moja wapo ni .................. hahahahah sichemi mie. Naingia kwenye database nyeti hapa nintwarushia baadaye.
Back
Top Bottom