Recent content by DAT BOY SU

  1. DAT BOY SU

    Dkt. Vincent Mashinji: Viongozi tumeondoka kila mmoja na siri kubwa kichwani

    Ukitafakali kauli hii ya aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji inaleta picha na tafakuli kubwa kama sio attention kwa watu wenye akili timamu inawezekana kuwa mambo hayakuwa mazuri kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi ama mambo yalikuwa shwari tu but all in all ukweli anaujua...
  2. DAT BOY SU

    Pole sana Dkt. Mashinji wenye akili tulijua huna safari

    Wote tumesikia kuwa dr Mashinji ameenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu mkuu na badala yake hiyo nasafi amezawadiwa mbunge wa kibamba John Mnyika, kulikon mbona Mashinji ametumbuliwa gafla hivyo nini sababu? Kwa habari za ndani ya CHADEMA zinaeleza kuwa Mbowe alikuapatani na Mashinji kutokana...
  3. DAT BOY SU

    Kama kawaida wazee wa kudandia hoja wameshadandia issue ya mikopo kwa wanafunzi

    Hili swala la wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kucheleweshewa fedha zao za mikopo ni swala nyeti na mtambuka, busara inahitajika katika kuliendea jambo hili pasina kuleta sintafahamy yoyote kwa jamii. Cha kusikitisha hili swala baadhi ya viongozi wa upinzan wameshaona ndo agenda yao na...
  4. DAT BOY SU

    Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

    Kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa CHADEMA leo pale mliman city, hautakiw hata uwe umesoma Rocket Scince kujua nani ataibuka mshindi wa kinyanganyiro hicho kati ya Freeman Mbowe na Cecil Mwambe. Mshindi ameshajulikan mapema sana kinachofanyika ni kukamilisha ratiba tu. Kama kamati ya...
  5. DAT BOY SU

    Kwanini ukiwakosoa vyama vya Upinzani unageuka kuwa adui wao na ukiwasifia unakuwa rafiki yao?

    Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini? Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari...
  6. DAT BOY SU

    Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Mwanza. Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema kazi ya urais ni ngumu na ataondoka madarakani baada ya muda wake wa uongozi kumalizika. Rais Magufuli ameyasema hayo leo Ijumaa Desemba 13, 2019 wakati akiongoza mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM uliofanyika jijini Mwanza. Taarifa iliyotolewa na...
  7. DAT BOY SU

    Platform waliyotengeza CCM ni ngumu kuja kuwatoa madarakani labda wenyewe waamue tu kung'atuka

    Ukiangalia muundo wa Chama cha Mapinduzi ulivyo kuanzia chini kwenye shina hadi Taifa utaona kuwa hawa jamaa wapo well organised na wanajua wanachofanya na kukitafuta tofauti na vyama vingine vya siasa. Ukianzia namna mchakato wa kuwapa viongozi wao wa shina, kata hadi taifa utaona ni wa wazi...
  8. DAT BOY SU

    Demokrasia ya vyama vya upinzani nchini vingi kama sio vyote inatia shaka na ukakasi

    Demokrasia ya vyama vyetu vya upinzani hapa kwetu inatia mashaka sana maana vyote vimekuwa vinahubiri yale wasiotenda wala kuyafanya katika vyama vyao. Vingine tena vimekuwa sio tena vyama vya upinzani bali vyama vya kiharakati maana wameshindwa kutofautisha ule mstari unawagawa kati yao...
  9. DAT BOY SU

    Matokeo ya Darasa la Saba yametoka ufaulu umeongezeka

    Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliomaliza darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo amesema #MwananchiUpdate Hongera kwa watoto waliochaguliwa kuendelea na masom ya secondary, hongera kwa walimu walio wafundisha watoto wetu.
  10. DAT BOY SU

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Wote tumemsikia aliyepata kuwa waziri mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo, akiongea na waandishi wa habari mzee wetu Fredrick Sumaye ameongea mengi na kwa hisia zilizo changanyikana na machungu ndani yake. Sumaye ametangaza kujiondoa kutoka chama kikuu hicho cha upinzani nchini...
Back
Top Bottom