Matokeo ya Darasa la Saba yametoka ufaulu umeongezeka

DAT BOY SU

Member
Nov 15, 2017
29
30
Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliomaliza darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo amesema #MwananchiUpdate

Hongera kwa watoto waliochaguliwa kuendelea na masom ya secondary, hongera kwa walimu walio wafundisha watoto wetu.
 
Back
Top Bottom