Nna hii lakini mi ni learner kabisa kwenye anga hizi na si mtalamu wa computer but natamani hili game, anaeweza kunielekeza step by step nipate huu mzigo asanteni
Sijisifii sijaona tofauti kwa sababu tulinunua rangi kutokana na namba ya rangi ya gari kwa wahindi..
Naomba kujua apo maana nataka kunyoosha yangu imebondeka sehem
Ningependa kujua hapo kwenye services za kufanya ni zipi hasa, nmeagiza na next month ntaifata dar ntashukuru kwa msaada wako
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.