Recent content by Daruga10

  1. D

    Kuna viongozi Vilaza sana Yanga. Hawa wanaiaibisha Club yetu Kongwe

    Kwenye TMS mikataba yote ya wachezaji inaonekana
  2. D

    Kinachofanywa na yanga ni zile stori za utotoni ntaenda kukusemea kwa mama muacheni Morrison acheze mpira Simba

    Mikia egesha kalio mdungwe sindano..Morrison hana mkataba na mikia ili uwe mkataba lazima pande mbili na mashahidi wasign ..Jana nimemsikia Magori anadai Yanga wamepata wapi huo mkataba..mikataba yote ya wachezaji inaonekana kwenye TMS...hata Mwamedi hana mkataba na mikia mnapigwa
  3. D

    Nani mkali: Luis Jose Miqsonne Vs Mbwana Samata

    Luis na Suvan unachekesha .....Suvan anawafunga Waydad Casablanca acha mahaba
  4. D

    Kabla 'sijamjibu' David Mwakalebela (Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC) namwomba anijibu haya upesi

    Sheria mpaka ukweli upatikane..katolewa kijijini Ghana sio Accra...Nenda Facebook ya Bin Zubery ameuweka mkataba viongozi wa Simba hawajaweka hata majina yao nini sahihi..litakufa jitu
  5. D

    Yanga walimtaka Big atoke uwanjani ili timu ipate goli

    Hivi kwa akili ya kawaida unachukua usafiri Dar mpaka Moro kuangalia mechi isiyo ya timu yako huku umevaa jezi ya timu yako...mbumbumbu OG
  6. D

    Kabla 'sijamjibu' David Mwakalebela (Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC) namwomba anijibu haya upesi

    Mikia hivi huyu zwazwa Morrison ana kitu gani special hadi kujidhalilisha ..au kuwafungeni kidude
  7. D

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Tulia dawa ikuingie..hakuna cha Bavicha washamba mwisho wao umefika wa kuongoza TZ
  8. D

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wafuasi wote wa Maalim Seif ni ACT Wazalendo..Lipumba kabaki na kiduchuuu
  9. D

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Unafikiri wanajeshi wanampenda Jiwe?alistaafisha mabrigedia generals akaenda kumpa ugeneral mtu wa chini kabila lake 2G..soma alama za nyakati..
  10. D

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Cheyo na Mrema mbona wanaongea hadharani kuunga mkono CCM
  11. D

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wapi wewe...watanzania wa leo sio wa jana..watu wanasmart phones hadi vijijini..Maalim kasema imepita hiyo..
  12. D

    High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

    Biashara Simba B tu..Lile libeki lao linapasia adui..ukimuona Chama anacheza sana jua mechi ya mipango..derby mbili za VPL msimu uliopita alifanya nini..FA mipango kashine...mechi zote za away CAF anaboronga ukitoa ile ya wale maiti kutoka Uswatini..
  13. D

    Hofu Yatanda Kwa sisi Washabiki wa timu ya Wananchi

    Nasikia Mwamedi kakataa kuchangia kampeni za CCM..Hamisi katumwa anaenda kupewa money laundry ya hatari..mikia kazi mnayo maana tajiri aliyebakia anayependa mikia ni Bakhresa tu na ana timu yake..usimcheke mamba kabla hujavuka mto..mko tayari kwa kupitisha makapu ?
  14. D

    Kwa hili la Wachezaji wetu kuvalishwa Vijora Sisi Wanayanga Hatukubali

    The Kappa Real Betis 20-21 third football shirt introduces a bold design in two shades of grey, separated by a diagonal green line that depicts the Guadalquivir river, which is also known as Baetis or Betis and which the club is named after.....Mikia jifunzeni ubunifu
Back
Top Bottom