Recent content by Darucha

  1. Darucha

    Wadau anaefahamu mwimbaji wa hii nyimbo au jina la hii nyimbo anisaidie tafadhari ni nyimbo ya kikorea

    Kaka Mbona nimeungalia you tube hauonekani huu wimbo manaake nameandika Wang life lakini wapi
  2. Darucha

    Cheka tu Comedy Search: Ni mshiriki gani unavutiwa naye?

    Wengi mnasema Leonardo ataondoka na pesa hizo yote ni kwa sababu jamaa hajawahi kupondwa hata kidogo maana tangia Cheka tu ianze jamaa amekuwa akishangiliwa kila wakati ni kweli mshikaji Yuko vizuri hata asiposhinda akiamua awe stand up comedian atafika mbali pia lakini kuna mashkaji...
  3. Darucha

    Wadau anaefahamu mwimbaji wa hii nyimbo au jina la hii nyimbo anisaidie tafadhari ni nyimbo ya kikorea

    Msaada wa hii nyimbo ya kikorea kwa anayejua Nani kaimba na jina la wimbo
  4. Darucha

    Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo

    Ina Ina maana unavyosema kuna njia ya kuzimu manaake ni kwamba shetani anavyotaka kuja kupiga michongo yake duniani huwa anatumia njia yake ya kariakoo shimoni
  5. Darucha

    Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    🤣🤣🤣Huyu anakuletea x wake aliyetaka kumuua
  6. Darucha

    Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Bro Mimi sio mnafki Ila hisia zangu zinaniambia ulienda kwa sangoma baada ya mama Agnes's kuja karibu na ww
  7. Darucha

    Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

    Wameru pia MKuu kande mpaka kweye harusi hakika niliishiwa nguvu siku nilipoenda kwa jirani alikuwa anafunga ndoa niliweka kande nyingi kuliko pilau
  8. Darucha

    Tujiepushe kutongoza wanawake ovyo ovyo wengine ni majini na viumbe vya ajabu

    Kuna jamaa yetu mmoja alikuwa ni dereva bajaji usiku anapiga ruti zake za kawaida maeneo ya mbeya stand kuu akaiona pisi moja Kali iko stand Kama inasubiria usafiri akaipita akapeleka abiria anarudi anaikuta iko palepale akasimamisha bajaji akaifuata kujua kulikoni muda wote iko pale inamsubiria...
  9. Darucha

    Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

    Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video. Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye...
  10. Darucha

    Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

    Daaah mkuu kwa hiyo jamaa ndo alishapotea hivyo
Back
Top Bottom