Recent content by darshan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    dah!!!unajariwa hvy hlf unaleta pozi la kibwenge.......hebu nipe namba mie niwe na huyo mshamba sbb nahitaji kujaliwa plus kusafiri kwa verossa mie.
  2. D

    JamiiForums Tanzania msaada plz

    thnkx katavi
  3. D

    JamiiForums Tanzania msaada plz

    habari zenu...ukitaka kujua kama namba unayotumia imesajiliwa wafanyaje?:mtumiaji wa line ya tigo.
  4. D

    JamiiForums Tanzania kujikita kwenye masomo hatimae kumeniponza, kila mrembo naemtaka kishachukuliwa!

    mwombe mungu upate ubavu wako huku ukiendelea na msuli wako......utampata hatakusumbua na xul utamaliza salama.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutendwa na umpendae je ulipata mpenzi mpya aliyekufuta machozi yako?

    kutendwa kunauma ila unakuwa makini ukiingia ktk uhusiano wngn na unakuwa na tahadhari sn....mi nikihs hueleweki nakuita twaongea ukiendelea km mara 2 zaidi najitoa kimyaaaaaaaa kimyaaaaaaa ctk presha tena za mapenzi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mume wako, mke wako au mpenzi wako akitoka kimapenzi na mtu mwingine; utamfanyaje?

    aendeeee tu ..........na magonjwa haya
  7. D

    JamiiForums Tanzania what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

    Ppl call me nai nai,twiga,dimpoz n'my late father used 2 cal me flamingo bcz am taller....lyk ol ma nicknames
  8. D

    JamiiForums Tanzania uliwezaje?

    nashukuruni sn.
  9. D

    JamiiForums Tanzania uliwezaje?

    mtu anakuwaje mbabe jamani????
  10. D

    JamiiForums Tanzania uliwezaje?

    hv uliwezaje kumfanya mpenzio kuwa rafiki yako wa karibu sn????nataman na wangu awe hivyo.
  11. D

    JamiiForums Tanzania ofisi za Tigo

    asatheni sn;mbalikiwe
  12. D

    JamiiForums Tanzania ofisi za Tigo

    sehemu gn?zipo jamani kkoo kubwaaaa
  13. D

    JamiiForums Tanzania ofisi za Tigo

    wajameni poleni na majukumu eti ofisi za tigo za kariakoo zipo sehemu gn????
  14. D

    JamiiForums Tanzania msaada tutani.plz

    ha ha ha ha
  15. D

    JamiiForums Tanzania msaada tutani.plz

    asatheeeee
Back
Top Bottom