Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu jambo hilo.
Nilikuwa na mkopo benki ya Nmb na nilipomaliza marejesho niliendelea na mambo yangu ila leo katika nazungumzo ba wadau nimeambiwa fedha zilizokatwa kwenye mkopo kama bima ya mkopo zinarudi kwa mkopaji baada ya kumaliza marejesho.
Naomba ukweli wa...
Wakuu nawaza kutoa hivi,
1. PSG vz Barca -GG
2. Atletico vs Dortmund -GG
3. West Bromwich vs Rotherham - Over 1.5 Home team.
Nataka odd 3 tu nitie 30k, mtazamo wenu ndg maafisa ubashiri.
Umenisemea ndg yaani mke wangu anasumbuliwa na hili jambo, anaweza kutoka bafuni hajapaka mafuta ashalowa jasho, kwenye kula ndo utamwonea huruma, na hapo yuko Arusha sa sijui siku akienda Dar[emoji849]
Mimi nikinunua simu ya milioni moja ni fedha nyingi ila Mwigulu akinunua simu ya milioni tatu ni pesa za kawaida tu ko hakuna swali hapo, kila mtu aishi kwa kiwango chake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.