Recent content by Darlingtone

  1. Darlingtone

    "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Pole mwaya... kwani umemzaa? kila mtu aende kwa mama yake...
  2. Darlingtone

    Wazazi naombeni ushauri wa haraka jamani!

    Akoroge uji, aweke pilipili manga, kisha ukiiva changanya na maziwa mgando... ahakikishe anakunywa uji ukiwa bado wa moto...
  3. Darlingtone

    Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

    Pole mwaya, achana naye huyo hakufai.... kwani mahari kitu gani? Mi nshavunja uchumba kwa sababu hizi hizi za kipuuzi, ukizingatia labda humfeel kiviiile...
  4. Darlingtone

    Toyota raum - for sale

    Muda ambao unaruhusiwa wewe kupiga simu, usije ukavunja yako.... Najua utasingizia ooh, nataka kukununulia gari... :nerd:
  5. Darlingtone

    Toyota raum - for sale

    Huu wa kwako si ndio mtiririko kabisa... Nitwangie tuzoze basi
  6. Darlingtone

    Toyota raum - for sale

    Acha udaku wewe...
  7. Darlingtone

    Toyota raum - for sale

    Ni Auto
  8. Darlingtone

    Toyota raum - for sale

    Ongeza kidogo uchukue gari mkuu
  9. Darlingtone

    HIV test online.

    Hahahaaa... nakumbuka sana tu
  10. Darlingtone

    HIV test online.

    :closed_2: :bolt:
  11. Darlingtone

    Toyota raum - for sale

    Iko Dar es Salaam
  12. Darlingtone

    Toyota raum - for sale

    Toyota Raum Year 1999 kMs 150,000 Automatic Price - 6m PM if interested or call 0715525959
  13. Darlingtone

    Mafuta ya ubuyu:

    Nimeambiwa ni mazuri kwa wazee pia, mwenye kujua yanapatikana wapi anijuze nimpelekee nyanya yangu
  14. Darlingtone

    Nahisi Simtendei Haki Na Jitihada Zangu Zote!

    :A S confused:... Wanaume wanaruhusiwa ku-date? :confused2:...
Back
Top Bottom