Recent content by Darlin

  1. Darlin

    JamiiForums Tanzania Zuchu kamchamba sana Mama Dangote kwenye 40 ya mwanaye

    Muache mwenzio atupasheee, kwanza sio shida zake
  2. Darlin

    JamiiForums Tanzania Kufafanua Kuondoka Kwangu JF

    😂😂😂king of drama kwenye one and two
  3. Darlin

    JamiiForums Tanzania Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

    Kila la kheri mkuu
  4. Darlin

    JamiiForums Tanzania Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

    😂😂😂lazma
  5. Darlin

    JamiiForums Tanzania Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

    Ila huyu😂 Very dramatic
  6. Darlin

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Ukitaka uone uwezo wako wa kufikiri ulivyo kwenye hii post kila ukimtaja mwanamke unasema takataka, ng’ombe. Una shida, please seek help na uache kushindana na wanawake, Jiamini kuwa unaweza na sio kudogodisha wanawake ili uonekane una uwezo😅 It hurts Yooo
  7. Darlin

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Mwanamke ana dhamana ya kufanya maisha ya ndoa yastawi?? Ila mwanaume hana hiyo dhamana? Mnataka peace kwenye ndoa ambayo tafakari yake ni wanaume ku cheat na kufanya ushenzi ila mwanamke ni kuvumilia na kusema ndio baba?? Ukweli ni kwamba mwanamke ni kiumbe mwenye nguvu sana ndio maana Mwenyezi...
  8. Darlin

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Abarikiwe mama aliekuzaa mkuu😍 Umebariki sana asubuhi yangu.
  9. Darlin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hadi muda huu hotuba ya Samia kesho na wazee wa CCM Dar December 2 imeshaharibika. Gen Z watibua kila kitu

    Shoga yangu pumzika kidogo Unaruka huku na kule kama bisi za makumbusho, wakupe ubalozi hata ukapumzike maana sio kwa mihangaiko hii
  10. Darlin

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

    Angekua mwanamke ningemuelewa, ila mwanaume aiseee🙌 Aah tumekwisha aiseeee, hapo akipewa kaviete si anachora tattoo ya boss wake mwili mzima
  11. Darlin

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

    Sasa mimi nimeingiaje hapo mkuu?
  12. Darlin

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

    Sijui kahaidiwa ukuu wa wilaya gani Yarabi😂😂😂yeye na mwashambwa tofauti hakuna
  13. Darlin

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

    Hawezi kua straight huyo Mungu atusaidie tuu
Back
Top Bottom