Ubaya wa wazungu hata ukiwa mkristo mweusi wenye mawazo ya kuunga mkono ulinzi wa nchi yao bado wanakuona sokwe.
Tuepuke kuumizwa na wivu wa kijinga....hakuna mwarabu au mzungu anayethamini ngozi nyeusi.
Mjini
1. Dar es Salaam
2. Zanzibar
3. Pwani
4. Morogoro
vs
Shamba/vijijini
1. Moshi,
2. Mbeya,
3.Iringa,
4. Arusha,
5. Mwanza
Wapi pameendelea? wapi watu wanakimbilia?
Alafu wapo bize kuwadanganya na kuwatumia wenzao kuwa Serikali ya CCM haifanyi kazi! Hii nchi kila mtu ana fursa ya kuwa tajiri hata kama ulitoka familia maskini.
Kabla ya kuja huku kupost huu uzi ungefanya ulinganisho na uchanganuzi (Comparison and critical analysis) wa maisha ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na pato la mtu mmoja mmoja la nchi ya huyo content creator na maisha ya Tz, ungepata jibu zuri. Tena siku unaweza ukatumia akili unde.
Vijana...
Kwa nini CHADEMA mnaamini sana kwenye kuingiliwa au kutatuliwa matatizo yao na watu weupe (Wazungu)?
Mnataka kuuza soverignity ya nchi kwa ujinga na vitu vidogo.
Watu wanauana kwa visasi na visa vyao.
Unamaanisha John Charles Heche aliyepata Zero form four akaenda kununua jina la Suguta. Wegesa Suguta aliyeacha shule, kisha Charles akarudia kidato kwa kutumika hilo jina?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.