Recent content by Daramiti

  1. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    JK na RA vipi wapo hapo
  2. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Game plan. Kosa lipo, Zalisha loophole, Nenda Rufaa shinda kesi on technicalities
  3. Daramiti

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

    Baada ya kuwapa ushindi mnono na mkapotea kabisa. CHADEMA ilipoteza Ground Political Stand yao
  4. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

    Lkn Congo ni Buffer zone. Yuko Mozambique ukimuacha Congo na akawa Mozambique utashindwa Preemptive
  5. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Kesha kula Chumvi nyingi
  6. Daramiti

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Ukiachama mdomo kuongea ndio fursa ya watu kujua kiwango cha qkili ulizo nazo
  7. Daramiti

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Bunge limepuuza maoni ya wadau, linajipanga kupitisha miswada mibovu

    1. Kuandama kwenda UN mlipoteza maboya. Mngeandamana kwenda viwanja vya kawe na mtoe maneno kwa wananchi. Nyie mkaenda kwa weupe. 2. Mnakosa moral push ya kulalamika kwakuwa inabidi msubiri majibu ya barua yenu. 3. Mnatakiwa kuwakumbusha UN wajibu barua yenu
  8. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

    Kumsikiliza Lema ni kukosa jambo la kufanya
  9. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

    Wanaoa kwao tu. VIP 3.5 Alirudi kuoa kwao.
  10. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Laptop ya Marehemu Dr. Mvungi na Utata wa Makabrasha ya Takwimu ya Tume ya Warioba

    Kwanini unaungaunga stori
  11. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Laptop ya Marehemu Dr. Mvungi na Utata wa Makabrasha ya Takwimu ya Tume ya Warioba

    Uliwaza waza kidogo
  12. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Washitakiwa wanne mauaji wa Dr. Mvungi waachiwa huru

    Taifa lilipoteza mtanzania mpenda Nchi
  13. Daramiti

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Kifo cha Dr. Sengondo Mvungi

    Kumbukizi
Back
Top Bottom