Hakikisha unajua alipo baba wa mtoto, na ukishamfahamu hakikishq unakaa mbali na huyo mwanamke. Na akikuambia amefariki, akuonyeshe kaburi lake na ufanye vipimo vya DNA na UKAE MBALI NA HUYO MWANAMKE.
Labda leo niwape mkasa mmoja wa mwanafamilia mmoja huko kwetu. Huyu ni babu yangu, yaani ni mjomba wa baba yangu.
Huyu Mzee (Apumzike Salama) alikuwa ni mtumishi wa serikali tatu alipomaliza darasa la 12 (nakumbuka alikuwa akipenda kunitajia kiwango cha elimu yake akimaanisha elimu ya Form...
Kwamba hakutaka iwe na jina lake na huku kuna jina lake na watoto.
Halafu ni nani anaamua kuwa hiki kiwe cha watoto? Ni baba? Ni mama? Au ni woye?
Hapa kulikuwa na kiburi cha elimu ya Masters ambaźo nyingi huwa zinapatikana kwa mtindo wa CHUP* kama alivyotueleza Mrisho Gambo.
Yaani kwa sababu...
Hali hii ilinipata pia. Tarehe 30 nilitoka na bajaj maeneo ya Maili Mbili, Dodoma mpaka Uwanja wa Jamhuri ambapo dereva alisema anaishia hapo maana mjini hakuingiliki. Nilishuka na kuanza kutembea mpaka General Hospital ili nipate usafiri mwingine wa kufika Nzuguni.
Nilikuwa nikitembea barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.