Source ya nini, ina umuhimu gani? Cha muhimu ni maudhui. Fisi alijambia jiwe, baada ya kuona jiwe liko kimya, akaliambia jiwe akisema "hata usipojitikisa, ushuzi utausikia tu". Sasa mnaoulizia Source, au kujifanya hamsikii, "ushuzi wa Baba Askofu" mtausikia tu!
Inawezekana. Ila kwa kweli ni vigumu kukuelezea maana sina majibu ya maswali mengi muhimu juu ya mtiririko wa ugonjwa aliokuwa nao mgonjwa na dalili zake.
Kwa mfano tu, kati ya kazi ya ini ni kutengeneza aina fulani ya protein inayoitwa "albumin" ambayo husaidia damu na maji kukaa katika...
Ni tatizo gani alilokuwa nalo kwenye figo? Je kabla hajaanza matibabu ya figo ini lilikuwa halijaathirika? Ni tatizo gani walilokikuta kwenye ini? Majibu ya haya maswali yatasaidia kujua kama matatizo mawili yanahusiana au la.
Tumbo lina mambo mengi. Kama unasema hajawahi kutibiwa, ni lazima aonane na tabibu ili upembuzi yakinifu ufanywe. Usijaribu kufanya matibabu kiholela bila ya kupata ushauri wa kitaalam. Inasikitisha kuona watu humu ndani wanatoa ushauri kwa kukisia tu bila ya kupata maelezo ya kutosha, kufanya...
Swali lako kwa kweli ni vigumu kulijibu kiurahisi. Ingawa upo uhusiano katika utendaji wa kawaida kimwili (physiologically), ni vigumu kujibu nini kitaathirika zaidi bila ya kufahamu sababu ya kuharibika huko. Vitu mbalimbali vinaharibu kiungo kimoja zaidi ya kingine. Labda ungefafanua zaidi...
Kama alivyosema "Reac", hili tatizo ni lazima lichunguzwe kitaalam ili kama niswala la mara moja litibiwe, na kama ni kitu kikubwa kitatuliwe kwa utaratibu wa kueleweka na haraka. Usijaribu kulitatua kienyeji maana unaweza ukachelewa na kuja kujuta baadaye.
Siyo kawaida mtu kupata fungus kwenye koo. Ingawa inawezekana kutokea, ila siyo jambo la kawaida. Sasa inapotokana mtu anakuja na fungus kwenye koo au mdomoni, cha kwanza kabla ya kuanza kutibu ni kuhakikisha kwamba ni fungus na pia kuangalia immunity (kinga ya mwili) ya mgonjwa husika. Mara...
Kuna mambo mengi saana yanayoweza kusababisha uchovu. Cha msingi, mtafute tabibu afanye upembuzi yakinifu. Baadhi tu ya matatizo yanayoweza kukusababishia ujisikie uchovu ni mfano anemia(upungufu wa damu), hypothyroidism(upungufu wa madini ya thyroid), Obstructive sleep apnea(kutopumua vizuri...
Ndugu Jiwegangi, mara nyingi unapotumia dawa moja mara kwa mara kutibu magonjwa hasa ya maambukizo"infections" baada ya muda hivyo vijidudu vinakuwa sugu na hiyo dawa inakuwa haina uwezo wa kutibu vizuri hizo infections. Mfano mzuri ni jinsi ambavyo kwa muda tulikuwa tukitumia chloroquine kwa...
Inabidi uende kwa dactari wa magonjwa ya wanawake ili ampe matibabu yanayotumia hormones na dactari atakwambia wakati wa kufanya tendo la ndoa ili uweze pata mimba. Kinachosababisha apate siku hedhi katika nyakati tofauti ni "hormonal imbalance" ambayo inaweza kuwa "regulated" kitaalamu ili awe...
It would have been nice for our beloved president to do something, or even to indicate to us the people of CUF , Pemba and the Mainland that he is taking this issue seriously. As it is, it seems like he is completely ignoring the matter all together. We the citizens need an assurance that all...
Kjembe, mgonjwa wako mwenye kisukari ana kisukari type 1 au 2? Amekuwa nacho kwa muda gani? Anatumia dawa? Dawa gani anatumia? Anatumia insulin pia?Sukari inakuwa juu wakati gani?
Kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya sukari ipande pamoja na kwamba anakula kidogo tu na kutapika.
Inawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.