Samahani mkuu naomba nikuulize, je ungependa mwanao wa kike aje kuolewa na mwanaume design yako? au afanywe mchepuko kama wewe unavyowafanya watoto wa wanaume wenzako?
Basi hilo ni tatizo kubwa, kama Quran inaruhusu mume amchape mkewe, ila sio mtoto hili ni tatizo anaytekiwa kufundwa ni mtoto sio mke aliyekomaa a kujielewa
Hahahaha CCM mmekosa hoja kabisa sasa mnatapa tapa, miezi michache imepita mlikuwa mnasema HECHE amekula hela za tone tone na kwenda kujenga bongeee la nyumba, nyumba yenyewe sasa mtu unabak unacheka, leo tena Lissu hajajenga kwao hafai kuwa kiongozi, ndio maana mmekuwa wabadhilifu wa mali...
Acha uzinzi, kwanini usitafute mmoja ambaye unaona anakufaa? unataka uwe unadonoa donoa tu shida ni nini? kwani hujuia kama siku hizi uzazi ni shida kwahiyo mwanaume ukiwa na uwezo wa kutungisha mimba hakuna mwanamke atajibana akihitaji mtoto, kwa hiyo suluhisho tafuta mwanamke mmoja utuklize...
Kwa nini majini mengi yanamajina ya kiarabu, sijawahi sikia jini likiitwa jini Josefu au basi jini Rebeca hakuna majini yote yana majina kutoka uarabuni kwanini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.