Recent content by Danpol

  1. Danpol

    JamiiForums Tanzania Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    Kwann hamuuzi?
  2. Danpol

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha biashara ya vinywaji vikali

    Hujataja ulipo
  3. Danpol

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

    Polepole alishakua big 3 ya watu wenye nguvu zaid kwenye hili taifa, saiv kiko wapi? Mjitazame na nyie
  4. Danpol

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa Katiba ya Kampuni

    Inagharimu laki jgapi?
  5. Danpol

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Karia atatangaza kujiuzulu TFF ndani ya saa 24, sababu kuu ni kuikumbatia Azam TV

    Unaumwa wewe, Mbona Sport pesa hawajakaa na CAF? Hakuna kitu kama hicho, club haimiliki bodi ya ligi wala TFF , bodi ya ligi wanamiliki ligi , wao ndio wenye mamlaka na wao ndio wanaingia mkataba na haki za matangazo , uweze kushiriki ligi lazima ukubaliane nao, club yenye huo mkataba...
  6. Danpol

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Karia atatangaza kujiuzulu TFF ndani ya saa 24, sababu kuu ni kuikumbatia Azam TV

    Kwamba mechi za yanga huzion Azam? hamnaga mkataba wa hivyo, mdhamin mkuu wa ligi ndio mwenye dhaman na sii vinginevyo, .. kuhusu simba na yanga mara nyingi ziko nje ya sheria za mamlaka ya kisoka, wanaangaliaga busara na sii sheria wala kanuni, kitawalamba vizuri tu, Mbona sport Pesa au M-Mbet...
  7. Danpol

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Karia atatangaza kujiuzulu TFF ndani ya saa 24, sababu kuu ni kuikumbatia Azam TV

    Hamnaga mkataba wa hivyo ndugu
  8. Danpol

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Mbona Pakistan anayo na hakuna shida? Kwa kifupi n kua hakuna mjinga anepaswa kua na hizo silaha
  9. Danpol

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Huwez kutoa taarifa ya hv ukiwa kwenye vita, uwaambie haijabomoka ili warud tena?
  10. Danpol

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    The goal is to demolishe the infrastructures, site zilizopigwa zilikua kwaajil ya uranium conversion facility and other nuclear infrastructure, sio kwamba zilikua zinahifadhiwa active nuclear weapons, hapana
  11. Danpol

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Hakuna siri yeyote anayoweza kua nayo Irani , ndege zaid ya 200 zinaingia kwenye anga lake na kuondoka hajui, ndio aje afiche kitu? Mossad wameweka kambi hapo hapo Iran na hajashtuka miaka yote aje ahame hawajui ? Mbona mnapenda kujitukana , you are better than this
  12. Danpol

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Wameondoa wapi? Kwamba Iran ataondoa alafu israel au usa asijue? Yan waweze kuvamia chumban kwako na kukuua washindwe kijua ukihama? Mnamatatizo ya akili ya nyie
Back
Top Bottom