Recent content by Dannynaste

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni rekodi gani iliyompandisha chati Kikwete kiasi kile mwaka 2005?

    Kuanzishwa kwa TRA kuwa mamlaka alipokuwa waziri wa fedha. Hapo mwanzo hakukuwa na kitu hicho. TRA ilianzishwa mwaka 1995 Kikwete alipokuwa Waziri wa fedha. Na mwaka 1996 ilianza kazi zake rasmi kama mamlaka. Leo tunajivunia TRA. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ma professa wa Vyuo Vikuu Ugiriki wawatia aibu ma professa wa Vyuo Tanzania

    Peter Msigwa alisoma UDSM?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wakati tunapiga kelele akamatwe akamatwe nasikia mwenzetu ndio katelemsha hii kitu toka KLM

    Si kweli. Hiyo picha imechukuliwa JKIA (Nairobi). Gari hiyo kanunua jamaa mmoja (mfanyabiashara) wa Kenya. Kusema ni ya Rugemalila ni uongo mtupu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge mwenye elimu ndogo kuliko wote Tanzania

    Mbowe amemaliza form six Ihungo Sec, na baada ya hapo inasemekana alienda Makerere kusoma certificate
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge mwenye elimu ndogo kuliko wote Tanzania

    Lameck Airo
  6. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Umetiririka vyema, lakini hapo kwenye "M" umepotoka.
  7. D

    JamiiForums Tanzania ITV hawajui wakifanyacho Kwa Kufanya Siasa Chafu kupitia TV yao!

    TBC haipatikani kwenye king'amuzi chako?!
  8. D

    JamiiForums Tanzania January Makamba awaita wasanii wa Bongo Movie Serena Hotel leo

    Rais wenu.
  9. D

    JamiiForums Tanzania January Makamba awaita wasanii wa Bongo Movie Serena Hotel leo

    January role model wake ni Kikwete. Hatuko salama
  10. D

    JamiiForums Tanzania Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

    Kumbe na Ngeleja ana makuwadi wake humu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mgonjwa leo nimeamini

    Kwani Nyerere Mungu mpaka asisemwe?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    Ili mbaki na mpiga majungu Kilewo siyo?! Alichokifanya kwa Zitto atafanya kwa mwingine pia. Dhambi hiyo haitaishia hapo, itaendelea Itachukua muda CDM kujua ukweli lakini utajulikana tu.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    Chadema iliwafukuza akina Shonza na Mwampamba ikamwacha Henry Kilewo. Huyu naye ni kirusi kingine ndani ya Chadema. Anatafuta umaarufu kwa kuendesha majungu dhidi ya watu wengine. Kilewo ndiye alisuka mkakati mzima wa kumchafua Zitto Kabwe. Chadema wangejua mbaya wao ni nani, mgogoro usingetokea...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kumekucha TRA

    Jaji Ruangisa
Back
Top Bottom