niko masaki mtaa wa slipway natafuta fundi nguo nimuajiri,awe anajua kushona nguo kwa fashion na mchoro utakaopewa na designer.....namba yangu ni 0784177507
We ndugu unashangaza sana mtu anapoambiwa ukweli eti anakatishwa tamaa,nchi hii ni maskini sanaaa lazma uuze sana nje ili upate fedha za kigeni ushindane kwenye soko la dunia kupandisha thamani ya sh yako.......mi nna wasiwasi na elimu yako we mtu au kichwa yako mana huelewi chochote
Unajua ngoja nikae kimya tuu,naona watu hawajielewi humu,hakuna mtu anakataa kulipa kodi wewe,ila haiwezekan unalipwa 150,000 kwa.mwezi alafu ikatwe kodi hakuna iyo kitu nchi yoyote ile,kuna kiwango maalum cha mshahara ndo kinaanza kukatwa na hata ivo sio 18% hii ni hatari maisha ni shida
Mkuu kama huelewi kinachoongelewa hapa ni bora ukae kimya,kulipa kodi ni wajibu sio kwa kuumizana alaf nahisi huna information,tafuta ni wap nchi za africa tunalipa kodi juu namna hii?soma hata gugo tu.....mtu unalipwa sh 150,000 inakatwa kodi,iyo sio sawa kabisa kuna kiwango cha mshahara ndo...
Gutter ni moja ya sehemu ya nyumba ambayo ikifungwa vibaya huharibu mfumo mzima wa roof.
Smartfundi tunao mafundi waliobobea na wenye mafunzo na uzoefu mkubwa katika ufungaji wa Gutter.
Contact Us:
(+255) 655 333 355,
(+255) 769 277 059
Smartfundi Co. Ltd deals with the total solution for house finishing and renovation. We also offer consultation on where to buy the construction materials for your house finishing or renovation and how to apply to get the best result.
We offer roofing, electricity related works, construction...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.