Recent content by Danny Jully

  1. D

    Makonda aitwe kaka wa taifa

    Tena hauna tiba!
  2. D

    Lile Jambo kutoka kwa Rais Samia ni Leo, tega masikio yote mawili

    Binadamu yeyote anaweza kuingizwa mkenge, sasa yeye tayari ameshajua aliingizwa mkenge. Kwa nini anasita kufanya uamuzi haraka? Mamlaka anayo ya kufanya hivyo. Wote wanaoendesha hiyo kesi ni wateule wake.
  3. D

    Lile Jambo kutoka kwa Rais Samia ni Leo, tega masikio yote mawili

    Usichulie mazoea, wakati mwingine hula mbovu.
  4. D

    Nawauliza mnaomtetea Hamza, Kwani gaidi Osama bin Laden alikuwa ni mtu mbaya kwenye jamii ya kawaida?

    Hili jibu hata babu yako kule Kishumundu hawezi kukubali bashwee.
  5. D

    Nawauliza mnaomtetea Hamza, Kwani gaidi Osama bin Laden alikuwa ni mtu mbaya kwenye jamii ya kawaida?

    Bwashee gaidi huwa hachagui, kwanini huyu gaidi kachagua polisi tu?
  6. D

    Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani

    Uko sahihi 100%. Mwisho wa siku lawama hazitaenda kwa hicho kikundi, zitenda kwake. The buck stops with her!
  7. D

    Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Kwa hiyo ni serikali ya LISSU na Mbowe ndiyo imetangaza wananchi wavae barakoa?
  8. D

    Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    Sasa yeye kwa uchizi wake anahamasisha mabango mpaka ya matusi. Hovyo kabisa na ameonesha alivyo punguani!
  9. D

    Uongo wa Zitto Kabwe

    [emoji23][emoji23][emoji23]Kosa la bahati mbaya? Kwenye sheria hilo kosa huwa lipo?
  10. D

    Laiti kama kule Hai angekuwepo mwanaume kama Saidy Mwamwindi

    Mkuu hivyo vyombo husika ndivyo alivyokuwa anavitumia Sabaya kunyanyasa watu. Kesi ya nyani umpelekee ngedere?
  11. D

    Niliwahi kumwambia Hayati Magufuli, leo narudia kwa Rais Samia ili asipoteze muda wake

    Sawa hakuwa malaika, lakini unapokuwa kiongozi wa nchi(raisi) huwezi kuropoka hovyo hovyo kwa kisingizio eti siyo malaika ana upungufu kama binadamu wengine. Kiongozi lazima ajiheshimu. "Baki na mavi yako nyumbani" hayo siyo maneno ya kusemwa na raisi wa nchi hadharani tena kwenye umati wa watu.
  12. D

    Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

    Duh....! Raisi aliunda tume ijue ukubwa wa tatizo na imletee mapendekezo ya nini kifanyike. Na tume imefanya ilichofanya na kuleta mapedekezo ya nini kifanyike. Tume haijatunga sheria, imeleta mapendekezo tu. Raisi hafungwi mahali popote na hayo mapendekezo ya tume. Raisi ana washauri wake...
  13. D

    Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

    Kwa hiyo hilo genge la majambazi la CDM ndilo limemsimamisha kazi Sabaya?
  14. D

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Kinachoendelea ndiyo hicho ulichokisikia, kasimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.
  15. D

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Mama Samia amuamua kufuata sheria. Mwendazake yeye alikuwa anatumbua tu bila kusimamisha kupisha uchunguzi!
Back
Top Bottom