Recent content by Dankbar

  1. D

    Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

    Yupo bize kuhalalisha uenyekiti wake wa kudumu, hawezi kumbuka juzi alienda kueleza ulaziama wa maridhiano
  2. D

    Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

    Unacheza na akili za watu, unajipanga na uchaguzi kukiwa na tume ileile ya uchaguzi. Hatua ya kwanza ingekuwa kudai TUME HURU. Ilikuwa rahisi kwako kutangaza wagombea wote waliosalia kwenye serikali za mitaa wajitoa, leo macho yote uchaguzi 2020, umemsahau Akwilina. TUME HURU! TUME HURU
  3. D

    Nyuma ya Pazia: Ni uenyekiti ulibadili nia ya Lissu kurudi?

    Uwepo wa Lisu ulitegemea kuongeza ushindani na hamasa ya uchaguzi, hasa baada misukosuko aliyopambana nayo. Wanachama na wasio wanachama wanatambua msimamo wa Lissu usioyumba lakini kwa upande mwingine ni mwaminifu na mtii kwa chama na viongozi. Kimempata nini hata akabadilisha msimamo wa...
  4. D

    Vivutio vya utalii Tanzania na faida za utalii wa ndani

    Umejitahidi kuchambua lakini umesahau hoja moja ya msingi ambayo haisemwi lakini ni ya muhimu sana nayo ni USALAMA. Hata kama yakawepo hayo yote kama hakuna usalama ni kazi bure. Matukio ya kutekwa mauaji au kunyang´anywa mali za watu hususani inapotokea kwa wataliii wenyewe linapoteza watalii...
  5. D

    ITV yaomba radhi kwa kumhoji msimamizi wa uchaguzi

    Kwa ushauri wako sheria na kununi zisifuatwe? Inakera sana hii tabia ya kupinga kila kitu
  6. D

    Mazishi ya Kingunge: Kanisa katoliki lijiepushe na double standard

    Kama alitubu katika hatua ya mwisho ya maisha yake, anastahili mazishi ya Krikristo na Kwa heshima zote za kiibada
  7. D

    CHADEMA kuamua leo juu ya kauli za Edward Lowassa kuhusu Rais Magufuli kutiwa moyo

    Demokrasia ipo wapi CHADEMA? Ilitosha kusema kauli ya Lowassa haukuwa msimamo wa Chama, mazungumzo Yao yalikuwa binafsi. Naanza kuwaelewa wanaohama CHADEMA. Hivi uhuru wa kutoa maoni upo chadema? Sasa tunahitaji Chama kingine mbadala. Hata Lowassa maelezo yake yalikuwa wazi kuwa yeye binafsi...
  8. D

    Masahihisho uchaguzi ubunge Songea Mjini

    Wamejiibia wenyewe
  9. D

    Rais Magufuli hajisikii aibu kutumia "Swa-nglishi"?

    Baki kwenye mada na wewe, nao wanaokubali kununuliwa ulimwengu wa leo ni wapuuzi
  10. D

    Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Lema unauliza mema yapi wakati Lowassa ameyataja wazi anayoyaona yeye kuwa mema? Hayo uliyosema Lema hayawezi kuwa mema, na hayo aliyosema Lowassa hayawezi kuwa mabaya. Uwe makini, unazidi kuleta mpasuko, hukuwa na sababu ya kumshambulia Lowassa katika hili.
  11. D

    CCM yabomoa ngome ya CHADEMA Longido, yakomba wanachama 1,200

    Niliwahi andika tutafakari madhara ya kususa uchaguzi, moja ya dhara lilikuwa CCM kuvuna wanachama kirahisi ambao nikama wametelekezwa na ukawa. Nini kilikuwa nyuma ya pazia kususa uchaguzi, haifai kushabikia tu bila kujiuliza kwa undani kwasababu imesema kamati kuu.
  12. D

    NEC: Chama cha Siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume iuahirishe! Tume haiko kushawishi chama kushiriki

    UKAWA umesusia uchaguzi kwa hoja ya kuogopa vurugu na kukatana mapanga kama ilivyotokea katika uchaguzi wa madiwani. Inafaa kujiuliza kwa undani juu ya maamuzi hayo. Maswali haya na mengine yanaweza kutuongoza kuangalia kwa makini maamuzi yaliyofanywa. 1. Je, kususia uchaguzi kutaleta suluhisho...
  13. D

    Uchumi mbovu, hali za maisha mbaya; Huku Magufuli anapendwa hakuna mfano

    Umesema kweli, hakuna mikakati madhubuti, wanakuja na matamko ya kususia uchaguzi bila mikakati mbadala itakayoshinikiza kuwepo Kwa tume huru ya uchaguzi.
Back
Top Bottom