Recent content by danikiruma

  1. danikiruma

    THE CHAIN: Mkakati wa kisasa wa CHADEMA ambao wameubuni

    Sio Nani yupo ya CHADEMA hiki chama kina maginius wengi Sana ukikutana na vijana kumi wa chuo kikuu 8 wote CHADEMA pengine mmoja au wawili ndio ccm kwahiyo hiki chama ni timaini la watu wenye akili kubwa Sana na wenye njaa na kiu ya maendeleo ya taifa lao.
  2. danikiruma

    Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

    Nchi hii Ina vituko kuliko hata vya mr Bean fikiria watu wale wale nyakati tofauti lakini wanazungumza Mambo tofauti na Yale ya wakati ule wa miaka 2 mmoja uliopita. Nchi haina dira na mipango mkakati haipo kichwa Cha rais ndio dira mfano mwaka mmoja nchi haina covid leo nchi Ina covid Zaid ya...
  3. danikiruma

    Natamani nichape kazi Sana lakini hali ya uvivu inaniijia

    Jizoeze kufanya mazoezi yanakufanya unakuwa very strong kiakili na kimwili Vijana wengi mnapenda Sana Raha mnachukulia maisha rahisi pesa kidogo unataka uonekane mtaani umevaa kichupi miguu yote IPO nje unalanda lands mtaani umekodi pikipiki unazurura hovyo pesa ikiisha unarudi Tena kazini...
  4. danikiruma

    Huu ulinzi wa VIP protection wa Freeman Mbowe unafikirisha walinzi walikuwa pale ambapo Mbowe hakuwepo?

    Hili la makomandoo wa jeshi la wananchi kumlinda Mbowe ndio limewavuluga wahuni wote na wasiojulikana. Tokea Uhuru wa taifa hili hakujawahi kutokea mwanasiasa especially wa chama Cha upinzani kulindwa na kikosi maalum Cha makomandoo wasiopungua 4 hili lilikuwa pigo kuu kwa ccm na vibaraka wake...
  5. danikiruma

    Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    Jambo ambalo majibu yake mpka muda huu sijui yasemeje ? Kama bwire alikuwa informer iweje Sasa yupo kizuizini kwa mashtaka hayo ya ugaidi? Kama kweli bwire ndio aliyesema mbowe amewatuma kazi ya kwenda kumdhuru Kiongozi huyo wa wilaya iweje bwire aieleze mahaka kwenye kesi ndogo alipigwa Sana...
  6. danikiruma

    CCM imempa Mbowe nguvu isiyokuwa na mfano

    Ccm wameshindwa kabisa kuwaunganisha watanzania wawe wamoja wanaendesha nchi kwa propaganda na usanii tu. Ndio hiki wanachofanya kwa Freeman Mbowe kumtengenezea kesi ya kipuuzi ili kujipa ahueni ya kisiasa.
  7. danikiruma

    CCM imempa Mbowe nguvu isiyokuwa na mfano

    Ebu nisaidie nami nipate kujua ukabila wa chama hiki upo wapi? CHADEMA Wana uongozi wa juu tukianza mwenyekiti makamu mwenyekiti katibu mkuu bara naibu katibu mkuu bara. Na huko visiwani Hawa viongozi wote ni kabila gani na gani na wanatokea mikoa gani? Ili niamini hicho unachosema kama kipo sahihi.
  8. danikiruma

    Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    Wazungu sio wote wapo vile mnavyotaka Kuna mdada mmoja aliondoka hapa kwenda France kwa kisingizio hataki wanaume watanzania anapenda wazungu Sana kama wewe. Kufika huko akakutana na mwenyeji wake nae akampleka kwenye nyumba wanakaa wahuni tupu. Wakawa wanapishana tu kumyandua kwa siku wanaume...
  9. danikiruma

    Fursa za kazi za Ujenzi, Pwani Tanzania

    Kazi ya ajira au deiwaka tu malipo kila siku au mwisho wa wiki tangazo liweke vizuri ili kusiwe na maswali mengi.
  10. danikiruma

    Madini tukutane hapa

    Ahsante kiongozi nipo kwenye mchakato wa kupata kibari cha uchimbaji mdogo kuna eneo lina madini ya kutosha tunafikiria kutafuta wabia wakufanya nao kazi tatizo fedha.
  11. danikiruma

    Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Sasa kama sio maagizo ya samia suruhu mbona amekaa kimya? Haoni yeye ndie anachafuliwa? Mimi kwa siku nyingi nimeona hata wewe mayalla njaa imeanza kutafuna ubongo kilichobaki unaanza kutafuta namna ya kujipatia ugari kwa njia za kujitoa ufahamu kujifanya (mentol find) Hivi unawezaje ukawa rais...
  12. danikiruma

    Video: Nyalandu asisitiza kumbwaga Lissu kwa kura za Kamati Kuu CHADEMA

    Nyarandu anatafuta namna ya kutumbukiza miguu yake kwenye mbio za urais ccm 2025 maana mama atajiweka pembeni vurugu zianze upya!! Sasa lazima awadanganye watu wa ccm kuwa alishinda kwenye kura za maoni ,[emoji1787]. Wakati wajumbe wote waliona mtu sahihi ni Lissu ndio mshindani sahihi mpaka...
  13. danikiruma

    Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

    Mkuu nafahamu kazi zenu mimi kama mtaalam wa Carpenter structure and journal kwa kazi zote formwork sirub beam colum nitafute tufanye kazi pamoja lakini nitakucheki pahala kuna kampuni wanahitaji mainjinia kama nyie.
  14. danikiruma

    Chumba kinapangishwa magomeni Makurumla

    Ndugu Wana jamii forum Kama kichwa Cha habari hapo juu chumba kipo magomeni kata ya Makurumla mtaa wa mianzini chumba kina Hali nzuri Sana rangi,siling board na umeme maji yapo nje kinapangishwa kwa Bei nafuu Sana kwa mwezi shilingi 35000/=xmiezi 6=210000 umeme itategemea Sana matumizi yenu wote...
  15. danikiruma

    Natafuta chumba Magomeni na Kigamboni, bei 50k

    Kipo magomeni mburahati usafiri unafika usalama upo wa kutosha maji yapo nje!labda ungesema magomeni ipi maana Mimi nipo mianzini kata ya Makurumla
Back
Top Bottom