Recent content by Daniil_T

  1. Daniil_T

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wenzangu wasomi tuliowahi kula boom la chuo likatupumbaza tukutane hapa

    😁😁😁😁 Dah afu bado serikali inakudai bado hujalipa hela yao uliyokuwa ukula bata batani na riba umeongezewa ku escape labda ufe.
  2. Daniil_T

    JamiiForums Tanzania Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

    vijana tunatakiwa kujitafakari sana hasa linapokuja suala la kudumisha amani ya nchi hii , tusitumike vibaya kwa namna yoyote ile kuleta hali hatarishi ambayo itasababisha uvunjivu wa amani nchini . yes tunajua viongozi kuna sehem wanakosoa kwa namna moja au nyingine kilichotokea October 29 kwa...
  3. Daniil_T

    JamiiForums Tanzania Siasa safi kwa vijana kwa ujenzi mzuri wa nchi yetu

    Vijana tujitahidi na kujitafakari hasa kwa vijana ambao wamebahatika kuwa na nafasi mbalimbali katika vyama vya siasa, kujizuia kutoa maneno yasiyo na sitara mbele ya vyombo vya habari. Siasa zifanyike kwa muktadha sahihi wa ushindani wenye hoja za kimantiki zenye kujenga amani na kudumisha...
  4. Daniil_T

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia

    Benjamin anaamini yeye ndiye wa kuitetea Israel hususan linapokuja suala la maslahi ya Israel katika ukanda wa mashariki ya kati kama ilivyo kwa Vladimir Putin na Russia
  5. Daniil_T

    JamiiForums Tanzania Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    unatoa maada ambayo ni pointless ivi ungezaliwa nje ya ndoa ungeandika icho ulichoandika? hakuna mtoto haramu ilihali kazaliwa kwa matokeo ya makutano ya wazazi wake . kila mtoto ana haki sawa iwe wa ndani au nje ya ndoa
  6. Daniil_T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

    ukuu wa wilaya kapewa na viongozi ambao ni sehem ya chama tawala, je unafikiri anachakufanya au atakuwa na sauti kuhusu swala la ndugu yake kutekwa ? ukizingatia ndugu yake ni sehem ya wakosoaji wa serikali iliyopo madarakani.
  7. Daniil_T

    JamiiForums Tanzania Kuacha ualimu serikalini na kuhamia chuo kikuu binafsi

    ni kheri kuishinda iyo tamaa iliyoko ndani mwako private sio sehem ya kuweka dhamana, serikali sawa mshahara ni mdogo ila uhakika wa kazi yako upo
Back
Top Bottom