Recent content by DanielP

  1. DanielP

    Kwa wale wanaopenda jinfunza web development,games and markets

    Kuna hawa jama wanaitwa Bitdgree wao wana course hizo but zinauzwa bei ghari kwa wengi wetu hapa leo wameachia free course zao almost zote kujiunga wahi soon watazifunga ziwe paid tena Link hiyo BitDegree - Revolutionizing education with blockchain NAAMINI KIZURI SHARE NA WENGINE THANKS
  2. DanielP

    Game Mpya kutoka Tanzania na kwa mtanzania

    Nazani ni RPG type good start
  3. DanielP

    KUTUMA PESA KIMAKOSA.

    Hahaha mimi ningerudisha
  4. DanielP

    KUTUMA PESA KIMAKOSA.

    Wanajibu only that simple, sasa nini maana ya watu kusajili laini na vitambulisho serious they must be smart than this pole sana kwa mtu ambaye haijamkuta anaweza akajibu anavyoona yeye ni sawa ila ni jambo ambalo linaumiza hili
  5. DanielP

    INTERNET KWENYE LAPTOP

    bado tatizo linaendelea? Jaribu ku trouble shoot ijue tatizo ni nini. right click kwenye network bar icon pale chini kwenye toolbar then utaona option 2 ya kwanza troubleshoot the problem bonyeza iyo then utafwata procedure zinazoendelea yenyewe ita detect the problem na kukwambia
  6. DanielP

    Giveaway for streamers premium part 1

    Sawa sijaelewa hawa jamii forumns leo post zina duplicate na sioni delete option
  7. DanielP

    Giveaway for streamers premium part 1

    Hello kwa wale wapenzi wa ku stream online au kupenda kuangalia vitu live bika kupitwa 1. MIELEKEKA (WWE) Nenda hapo WWE Network Subscription - Free Trial login umo email: xerxesvortiger@yahoo.com password: 3dragons email: purplehaze2711@hotmail.co.uk password...
  8. DanielP

    Private torrent ngumu kuzipata izi hapa

    Sina takwimu but kama utakuwa interest kupitia haidhuru, najua wengine watapita wacheki huko that's why nime share ilo tu sina nyongeza
  9. DanielP

    Private torrent ngumu kuzipata izi hapa

    well zipo kawaida ila seeders wengi sana sometimes
  10. DanielP

    Private torrent ngumu kuzipata izi hapa

    sometimes zina forumn inside plus other stuff mpka ukague sana ndo utajua
  11. DanielP

    Private torrent ngumu kuzipata izi hapa

    hizi ni moja ya torrent hata uki google kizipata kwake sio kirahisi na hata ukizipata zingine zipo locked huwezi ingia mpka invitation upate mfano 1. na ukienda hapo register itakupa ivi 2. leo nina share na wengine mzijue kidogo mfaidike username password...
  12. DanielP

    Night Unlimited

    WALIKUWA WANAJIUNGA VIPI IYO ya 1gb iyo hapo kale
  13. DanielP

    Tunnel Guru...!!!

    Ndo wapi uko chief
  14. DanielP

    Msaada...Jinsi ya ku>delete facebook account

    EASY LOGIN KWANZA KWA ACCOUNT YAKO KISHA NENDA HAPA https://www.facebook.com/help/delete_account me nimefanikiwa nenda nawe hapo.
Back
Top Bottom