Kuna kuaDeactivate na sio kudelete ila fanya hivi.
Andika mahali password ili uweze kubadilisha.
Change Password weka Password ndefu na ambayo hautakumbuka.
Nenda kwa setting Deactivate Account yako.
N.B usiweke password ambayo utaikumbuka kwani ukilog in saa yoyote itakuwa active
Naomben msaada jinsi ya kuifuta account yangu ya facebook
Mkuu account ya facebook unaweza kuifuta kabisa na wala si kui-deactivate pekee, ila unachotakiwa ni kuingia hapa https://www.facebook.com/help/delete_account‎ watakupa ujumbe kuwa watai-deactivate kwa mda wa siku kumi na nne almost wiki mbili kama mda huo wa wiki mbili hutaingia facebook wanaifuta mazimaKuna kuaDeactivate na sio kudelete ila fanya hivi.