Kijana Yuko sahihi kabisa, umasikini siyo mzuri, ila hajatoa kikamilifu mfanyakazi afanyeje au atumie kanuni gani ili kujikwamua na umasikini, sawa anatakiwa kusave 150k,halafu baada ya kusave afanye nini, kwa ujumla hoja ni nzuri sana ila inahitaji mwendelezo ili kumuweka mtumiaji vizuri, mpaka...