Nilitembea naye kweli, akapata mimba... Lakini natatizwa na hili

Iko sawa mtoto huyo ni wako,Toka mkutane kwake siku ya 14 ilikuwa ndani ya siku za hatari,na kumbuka mwanamke anapokuwa kwenye siku hizo huwa na hisia Sana za kusex, na ndo maana alisafiri umbali mrefu kuja kwako kwa sababu alikuwa na nyege za kutosha,pia alikuwa amekumisi lkn Toka April in kwa tarehe hizo ni miezi 9 sasa kwa tarehe 27 Yuko sawa,usidanganywe mambo ya jinsia,ila kama unamashaka fanya DNA.
 
Tukiwa tumebakiza siku au masaa kadhaa kuuaga mwaka 2022 nakuja mbele yenu na hiki kisa:

Kuna kabinti flani kalikuwa kanasoma chuo flani hapa Dom nilikuwaga na mahusiano nako miaka ya nyuma badae tukaja kuachana kama mnavyojua vidada vya chuo huwa vina mambo mengi.

Sasa mwanzoni mwa mwaka huu akaanza kurudisha mawasiliano na mimi tukawa tunachat mara moja moja akadai huwa ananimiss sana anatamani japo tupange siku tuonane tupeane utamu.

Nakumbuka ilikuwa tarehe 6 mwezi wa nne nilipata safari ya kwenda mkoa flani kucheck kama naweza kuwekeza biashara yangu ya majeneza huko, nikiwa huko nikawasiliana na huyu binti nikamjuza kwamba ntakuwepo hapo kwa siku kama tatu(kipindi hicho alikuwa anaishi mkoa huo baada ya kumaliza chuo)

Nilipomjuza kwamba niko maeneo hayo alifurahi sana akaomba kuja kuniona nikamkubalia hivyo akapanda basi kutoka eneo alipokuwa mpaka kufika mjini nilipofikia mimi ni umbali wa masaa matano hivi.

Ili kufupisha story alikuja tukapiga story kwa jinsi ambavyo tulikuwa na muda mrefu hatujaonana kila mmoja kammiss mwenzake tulijikuta room tunapiga show na tulilala mpaka kesho yake ambayo nakumbuka ilikuwa Karume day tarehe 7 April.

Kulipokucha ndo ananiambia eti tumesex siku mbaya ambapo anadai aliingia period tarehe 24 March hivyo kufikia hiyo tarehe tuliyofanya mapenzi tarehe 6 kuamkia tarehe 7 April ilikuwa siku ya 14 kwenye mzunguko wake hivyo anahofia kuwa kanasa mimba!

Nikamuuliza kwa nini hakusema kabla akasema eti kutokana na alivyokuwa kanimiss halafu alipofika tulikunywa kidogo hivyo anadai alijisahau amekuja kustuka asubuhi kwamba alikuwa tarehe mbaya!

Tuliagana nikaendelea na mishe zangu then nikarudi Dom tukawa tunawasiliana mara moja moja baada ya siku kadhaa akanambia amepima ana mimba na ana uhakika ni yangu!

Sasa mnamo jana tarehe 27 December huyu binti kanitaarifu kajifungua mtoto wa kike.

Nimekaa nikawaza kabla ya kuchukua maamuzi yoyote nifanye utafiti kwanza ili nisije kuwa napigwa na kitu kizito!
Najua humu kuna watu wenye uelewa tofauti hata wataalamu wa masuala ya uzazi pia wapo(japo wale wazee wa michambo pia wapo)

Naomba msaada wa kitaalamu kwa wenye uelewa wa haya mambo:

Inawezekana nisex na mwanamke siku ya 14 ya mzunguko wake ambao una siku 28 then aje kujifungua mtoto wa kike?

NB: Ikumbukwe kwamba alianza period tarehe 24 March na nikafanya naye mapenzi usiku wa tarehe 6 April na amejifungua tarehe 27 December mtoto wa kike!
Kama tarehe ya mwisho kuingia hedhi ilikua 24 March huo ujauzito una miezi tisa (week 39 na siku 6) so ni sawa kama alikutana nae, makadirio ya tarehe ya kujifungua 15-29 december. Issue ya tarehe 14 kuwa ni mtoto wa kiume izo ni probability tuu inaweza kua wa kike pia.

Kwa hayo maelekezo kama hakua kakutana na mtu mwingine huyo ni mwanao ila sasa hawa viumbe hawaaminiki fanya kama unaweza kapime DNA ujiridhishe.
 
Tukiwa tumebakiza siku au masaa kadhaa kuuaga mwaka 2022 nakuja mbele yenu na hiki kisa:

Kuna kabinti flani kalikuwa kanasoma chuo flani hapa Dom nilikuwaga na mahusiano nako miaka ya nyuma badae tukaja kuachana kama mnavyojua vidada vya chuo huwa vina mambo mengi.

Sasa mwanzoni mwa mwaka huu akaanza kurudisha mawasiliano na mimi tukawa tunachat mara moja moja akadai huwa ananimiss sana anatamani japo tupange siku tuonane tupeane utamu.

Nakumbuka ilikuwa tarehe 6 mwezi wa nne nilipata safari ya kwenda mkoa flani kucheck kama naweza kuwekeza biashara yangu ya majeneza huko, nikiwa huko nikawasiliana na huyu binti nikamjuza kwamba ntakuwepo hapo kwa siku kama tatu(kipindi hicho alikuwa anaishi mkoa huo baada ya kumaliza chuo)

Nilipomjuza kwamba niko maeneo hayo alifurahi sana akaomba kuja kuniona nikamkubalia hivyo akapanda basi kutoka eneo alipokuwa mpaka kufika mjini nilipofikia mimi ni umbali wa masaa matano hivi.

Ili kufupisha story alikuja tukapiga story kwa jinsi ambavyo tulikuwa na muda mrefu hatujaonana kila mmoja kammiss mwenzake tulijikuta room tunapiga show na tulilala mpaka kesho yake ambayo nakumbuka ilikuwa Karume day tarehe 7 April.

Kulipokucha ndo ananiambia eti tumesex siku mbaya ambapo anadai aliingia period tarehe 24 March hivyo kufikia hiyo tarehe tuliyofanya mapenzi tarehe 6 kuamkia tarehe 7 April ilikuwa siku ya 14 kwenye mzunguko wake hivyo anahofia kuwa kanasa mimba!

Nikamuuliza kwa nini hakusema kabla akasema eti kutokana na alivyokuwa kanimiss halafu alipofika tulikunywa kidogo hivyo anadai alijisahau amekuja kustuka asubuhi kwamba alikuwa tarehe mbaya!

Tuliagana nikaendelea na mishe zangu then nikarudi Dom tukawa tunawasiliana mara moja moja baada ya siku kadhaa akanambia amepima ana mimba na ana uhakika ni yangu!

Sasa mnamo jana tarehe 27 December huyu binti kanitaarifu kajifungua mtoto wa kike.

Nimekaa nikawaza kabla ya kuchukua maamuzi yoyote nifanye utafiti kwanza ili nisije kuwa napigwa na kitu kizito!
Najua humu kuna watu wenye uelewa tofauti hata wataalamu wa masuala ya uzazi pia wapo(japo wale wazee wa michambo pia wapo)

Naomba msaada wa kitaalamu kwa wenye uelewa wa haya mambo:

Inawezekana nisex na mwanamke siku ya 14 ya mzunguko wake ambao una siku 28 then aje kujifungua mtoto wa kike?

NB: Ikumbukwe kwamba alianza period tarehe 24 March na nikafanya naye mapenzi usiku wa tarehe 6 April na amejifungua tarehe 27 December mtoto wa kike!
Hongera kwa kuwa Baba. Tarehe ya mimba kuingia wala sio shida. What if siku hiyo mbegu hiyo haikua na Y chromosomes? Maana dume anatolewa na Baba sasa unasemaje umepigwa? Lea mtoto
 
Huyo Kuna uwezekano mkubwa amefanya mpango na mtoto sio wa kwako. Ameshagundua kwamba ulikuwa unampenda na aliyempa mimba kabla yawezekana kamtosa na kakataa mimba Kwa hivyo anatafuta pa kuponea.

Ebu angalia haya matukio

1 Kwanza kaanza kukutafuta wewe na kujibembelezesha kuwa amekumiss, hicho kipindi Cha Kati Cha miezi kadhaa alikuwa wapi.

2 Pili anasema anataka muoane mupeane utamu ,kwanini akimbilie kuoana na wewe haraka hivyo.

3 Umemtajia upo karibu na ameamua kufunga safari ya masaa TANO Wala hajakuomba nauli Wala nini.Safari ya masaa TANO sio mchezo bro, ni umbali mrefu hivyo huyo mtu amedhamiria Kuna kumaliza mpango wake kabisa kabisa.

4 Wanawake sio rahisi kusahau siku zao ata kama wamekunywa .Ukitaka tu kufanya watakutahadharisha.Hakuna binadamu asiyeuelewa mwili wake

5 Kama kweli amekumiss kwanini aje afanye ngono na wewe siku ya kwanza tu na kuondoka siku inayofuata.Ikumbukwe ni safari ya masaa TANO ilibidi apumzike kidogo hata siku Moja yeye kaondoka siku inayofuata.

6 Amekaa siku chache tu anadai kanunua kipimo Cha mimba na amepima inaonesha ana mimba na ana uhakika ni Yako.Kwanini akukazanie mimba ni Yako.

7 Huyo msichana wa chuo kama kaweza kukutana na wewe na kusex ,huku nyuma kasex na wangapi kipindi mlichoachana na utakuwaje na uhakika hiyo mimba sio ya hao watu .

8 Nasisitizia hapa kwanini baada ya kipindi kirefu kaanza kukutafuta na aliposikia upo karibu alifurahi Sana

Yangu ni hayo Kuna asilimia 70hiyo sio mimba Yako jamaa yangu naye aliingia kwenye mtego kama huo akagundua akachomoka mapema asubuhi .Sema wanaokimbilia kufanya ngono BIla kuwaza chochote huingia kwenye mitego mibaya kama hiyo
 
Aisee,wanaume bhana! Mi nakumbuka aliniuliza "mbona mtoto mweupe sana" wakati huo yeye ni mweupe wastani na ndugu zao weupe wastani...sasa nikajiuliza,INA maana kashindwa kutambua kuwa hata mtoto mweusi huzaliwa mweupe ...ngoz hubadilika taratibu.😭...kwanza alisema toa mimba,nimepambania nizae tena mtoto mweupe sana.Hakika kuna muda wanawake tunapitia magumu kweli....

NB; kuna muda yai huchelewa kupevuka au kuwahi ivo mtoto ni wako.(wanaume jipunguzieni laana na kuongeza kizazi cha watoto waliokosa malez toka kwa baba,tunakufa jaman acheni kuzini bas kama hampendi majukumu😭😭 Daa)
 
Yalinikuta mwakajana binti nilimla mara moja tu tarehe 23 mwezi wa kumi na moja.

After one month baada ya kuondoka yale maeneo binti akadai anamimba ilinipa wakati mgumu sana nikajua ananifanyia usanii, yalitokea mengi.. nikajisemea moyoni potelea pote nikaanza kulea mimba.

Tarehe 19 mwez wa nane mwaka huu kajifungua mtoto wa kiume, mtoto ni Aulu mtupu ningekataa ilikua aibu sana.

Nakushauri mtunze mwanao nakuwapenda siku zetu hazikawii kwisha fanya sehemu yako upite wee sio wakwanza.
 
Tukiwa tumebakiza siku au masaa kadhaa kuuaga mwaka 2022 nakuja mbele yenu na hiki kisa:

Kuna kabinti flani kalikuwa kanasoma chuo flani hapa Dom nilikuwaga na mahusiano nako miaka ya nyuma badae tukaja kuachana kama mnavyojua vidada vya chuo huwa vina mambo mengi.

Sasa mwanzoni mwa mwaka huu akaanza kurudisha mawasiliano na mimi tukawa tunachat mara moja moja akadai huwa ananimiss sana anatamani japo tupange siku tuonane tupeane utamu.

Nakumbuka ilikuwa tarehe 6 mwezi wa nne nilipata safari ya kwenda mkoa flani kucheck kama naweza kuwekeza biashara yangu ya majeneza huko, nikiwa huko nikawasiliana na huyu binti nikamjuza kwamba ntakuwepo hapo kwa siku kama tatu(kipindi hicho alikuwa anaishi mkoa huo baada ya kumaliza chuo)

Nilipomjuza kwamba niko maeneo hayo alifurahi sana akaomba kuja kuniona nikamkubalia hivyo akapanda basi kutoka eneo alipokuwa mpaka kufika mjini nilipofikia mimi ni umbali wa masaa matano hivi.

Ili kufupisha story alikuja tukapiga story kwa jinsi ambavyo tulikuwa na muda mrefu hatujaonana kila mmoja kammiss mwenzake tulijikuta room tunapiga show na tulilala mpaka kesho yake ambayo nakumbuka ilikuwa Karume day tarehe 7 April.

Kulipokucha ndo ananiambia eti tumesex siku mbaya ambapo anadai aliingia period tarehe 24 March hivyo kufikia hiyo tarehe tuliyofanya mapenzi tarehe 6 kuamkia tarehe 7 April ilikuwa siku ya 14 kwenye mzunguko wake hivyo anahofia kuwa kanasa mimba!

Nikamuuliza kwa nini hakusema kabla akasema eti kutokana na alivyokuwa kanimiss halafu alipofika tulikunywa kidogo hivyo anadai alijisahau amekuja kustuka asubuhi kwamba alikuwa tarehe mbaya!

Tuliagana nikaendelea na mishe zangu then nikarudi Dom tukawa tunawasiliana mara moja moja baada ya siku kadhaa akanambia amepima ana mimba na ana uhakika ni yangu!

Sasa mnamo jana tarehe 27 December huyu binti kanitaarifu kajifungua mtoto wa kike.

Nimekaa nikawaza kabla ya kuchukua maamuzi yoyote nifanye utafiti kwanza ili nisije kuwa napigwa na kitu kizito!
Najua humu kuna watu wenye uelewa tofauti hata wataalamu wa masuala ya uzazi pia wapo(japo wale wazee wa michambo pia wapo)

Naomba msaada wa kitaalamu kwa wenye uelewa wa haya mambo:

Inawezekana nisex na mwanamke siku ya 14 ya mzunguko wake ambao una siku 28 then aje kujifungua mtoto wa kike?

NB: Ikumbukwe kwamba alianza period tarehe 24 March na nikafanya naye mapenzi usiku wa tarehe 6 April na amejifungua tarehe 27 December mtoto wa kike!
We ulikuwa unataka mtoto gani
 
Mtoto huzaliwa between 37-42 weeks. Hiyo EDD ya January unataka mtoto azaliwe na ndevu? Muda aliojifungua ni sahihi kabisa
Mwanamke anaweza kujifungua mwezi wa 11 akaja kukuambia kajifungua baada ya miezi miwili kupita akitargert miezi au Tarehe husika,..

Especially wale ambao mahusiano yapo Mikoa tofauti....

Akili kumkichwa
 
Tukiwa tumebakiza siku au masaa kadhaa kuuaga mwaka 2022 nakuja mbele yenu na hiki kisa:

Kuna kabinti flani kalikuwa kanasoma chuo flani hapa Dom nilikuwaga na mahusiano nako miaka ya nyuma badae tukaja kuachana kama mnavyojua vidada vya chuo huwa vina mambo mengi.

Sasa mwanzoni mwa mwaka huu akaanza kurudisha mawasiliano na mimi tukawa tunachat mara moja moja akadai huwa ananimiss sana anatamani japo tupange siku tuonane tupeane utamu.

Nakumbuka ilikuwa tarehe 6 mwezi wa nne nilipata safari ya kwenda mkoa flani kucheck kama naweza kuwekeza biashara yangu ya majeneza huko, nikiwa huko nikawasiliana na huyu binti nikamjuza kwamba ntakuwepo hapo kwa siku kama tatu(kipindi hicho alikuwa anaishi mkoa huo baada ya kumaliza chuo)

Nilipomjuza kwamba niko maeneo hayo alifurahi sana akaomba kuja kuniona nikamkubalia hivyo akapanda basi kutoka eneo alipokuwa mpaka kufika mjini nilipofikia mimi ni umbali wa masaa matano hivi.

Ili kufupisha story alikuja tukapiga story kwa jinsi ambavyo tulikuwa na muda mrefu hatujaonana kila mmoja kammiss mwenzake tulijikuta room tunapiga show na tulilala mpaka kesho yake ambayo nakumbuka ilikuwa Karume day tarehe 7 April.

Kulipokucha ndo ananiambia eti tumesex siku mbaya ambapo anadai aliingia period tarehe 24 March hivyo kufikia hiyo tarehe tuliyofanya mapenzi tarehe 6 kuamkia tarehe 7 April ilikuwa siku ya 14 kwenye mzunguko wake hivyo anahofia kuwa kanasa mimba!

Nikamuuliza kwa nini hakusema kabla akasema eti kutokana na alivyokuwa kanimiss halafu alipofika tulikunywa kidogo hivyo anadai alijisahau amekuja kustuka asubuhi kwamba alikuwa tarehe mbaya!

Tuliagana nikaendelea na mishe zangu then nikarudi Dom tukawa tunawasiliana mara moja moja baada ya siku kadhaa akanambia amepima ana mimba na ana uhakika ni yangu!

Sasa mnamo jana tarehe 27 December huyu binti kanitaarifu kajifungua mtoto wa kike.

Nimekaa nikawaza kabla ya kuchukua maamuzi yoyote nifanye utafiti kwanza ili nisije kuwa napigwa na kitu kizito!
Najua humu kuna watu wenye uelewa tofauti hata wataalamu wa masuala ya uzazi pia wapo(japo wale wazee wa michambo pia wapo)

Naomba msaada wa kitaalamu kwa wenye uelewa wa haya mambo:

Inawezekana nisex na mwanamke siku ya 14 ya mzunguko wake ambao una siku 28 then aje kujifungua mtoto wa kike?

NB: Ikumbukwe kwamba alianza period tarehe 24 March na nikafanya naye mapenzi usiku wa tarehe 6 April na amejifungua tarehe 27 December mtoto wa kike!
yaani mmeachana kitambo amekugusa tu ukaingia chumbani pekupeku....the girl knows you are weak mentally inawezekana hata huyo mtoto si wako. hulka yako ya ngono imekuponza.

kwa nini hukutumia kinga?
 
yaani mmeachana kitambo amekugusa tu ukaingia chumbani pekupeku....the girls knows you are weak mentally inawezekana hata huyo mtoto asiwe wako.

kwa nini hukutumia kinga?
Situmiagi kinga mkuu!
Mie nabutuaga hivyo hivyo tu!
 
Mbwa dume leo mtoto huyo wakati unapata raha umekunjua unakojolea ndani hukujua kinachofuata ni nini au matokeo ya unachokifanya ni nini?

Haijarishi alikua kwenye siku zipi au amezaliwa mtoto mwenye jinsia ipi km kweli unathibitisha kwamba ulimmwagia ndani hio mimba inakuhusu, no way out lea mtoto
 
Possibility kubwa huyu binti ni wako sababu utambulisho wa mimba ulipewa mapema sana, Angetaka kukubambikia tarehe zingepishana maana ili akubambikie lazima mimba iwepo na yeye ajue anayo.

Kwa kawaida kama amefanya ngono na mtu asiyetaka kuubeba ujauzito wake angekunywa tu P2 kuzuia isishike na ww pia ungeweza mwambia kunywa P2 ila hukufanya hivyo means ulikuwa tayari kwa matokeo ya mimba ila shida ni jinsia.

Kuhusu Jinsia, Mwanaume ndo anatoa mbegu za kiume na kike. Sasa kama mbegu ya kike ndo uliyompa na ikafanikiwa atazaliwa malkia na ni jukumu lako kumpokea na kumtambulisha duniani. Mpokee kwa furaha maana hata Samia mimba yake ilitungwa na leo ni raisi.

Kama ni lazima sana na una wasiwasi pima DNA ikiwezekana mama yake asijue unafanya hilo sababu DNA ni hatua ya kwanza ya kumkataa mtoto, ukikuta ni wako huwa inaacha doa.

Ukikuta si wako fanya maamuzi, unaweza pia kumkubali mtoto hata kama sio wako na ukampa malezi yote kama baba na akabeba jina lako sababu baba yake ni zezeta lisiloweza majukumu. Lakini fanya hivyo huku ukiwa na uelewa sio umebambikiwa.
 
Back
Top Bottom