Recent content by Daniel Sanare

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa CCM sasa ni wakati wa kuwashitaki watu wanachafua haiba ya chama chenu

    Chizi sio mpaka aokote makopo. Badala uwe chawa mwenye akili unakuwa kupe mng'ang'anizi , wewe sio mwana ccm mwenzangu ningekujibu ila ni mwanafisiemu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu ana miezi 12 bado hajaanza kutambaa, yeye ni kukaa tu

    Hapa unachemsha pamoja ndio umfukize au?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya Degedege

    Usisite kutupa namba ya huyo mzee au mrejesho?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

    Tuambie na machimbo wapi pa kupata hivo vifaa Kwa unafuu zaidi
  5. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Naomba kuuliza CCTV camera HDD Ina uwezo wa kutunza taarfa Kwa Dak ,Mwezi au masaa mangapi? Pili CCTV camera zinazima baada ya mda gani au kunawezatokea hitilafu zikajizima zenyewe? Je umeme ukikatika zitaendelea kuchukua tukio? Ni Kwa wakati gani zinazima au utawasha through out years???
  6. D

    JamiiForums Tanzania Bado unatafuta wazo la biashara ya kufanya?

    Angalau kichwa kinaangaza
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi mitano hajaanza kusimama

    Hapana kaka ni watu tu ndo wananijaza stress hapa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi mitano hajaanza kusimama

    Ndio
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea Pemba, ni vema sasa Serikali isipeleke Watumishi Wakristo

    Yote haya madhaifu ya serikali ,hakuna kilichoshindikana na kilichopo juu ya serikali na Dola yake nzima ila tu mfumo wa uongozi tu ilivyo. Viongoz wetu baadhi wanakosa msimamo na kushindwa kuona madhara ya baada ya mambo km haya mfano Udini ,ukabila n.k
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kusaidiwa kwa silaha za kivita, inamaana kuwa Mrusi anatambo nyingi kuliko uhalisia?

    Uko sahihi kaka Uko sahihi kaka wanaona kama wanacheleweshwa but Russia Kuna kitu inasubiri hvo acha Ukraine waendelee kulialia tu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi mitano hajaanza kusimama

    Sawa kaka nashukuru ngoja niwe na subira
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Mtu akikutabiria kifo afu Bado ukafa ndani ya mda anatakiwa atafutwe huyo anajua sababu ya kifo chako, vinywa vingine ni ushetani kabisa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi mitano hajaanza kusimama

    Ni wa kike afu sijakuelewa msaidizi yupi?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kusaidiwa kwa silaha za kivita, inamaana kuwa Mrusi anatambo nyingi kuliko uhalisia?

    Putin ajaomba msaada wa silaha za kivita ila uongoz wa nchi wenyewe ndo umeamua kuungana nao na hizo drone za kivita ni new model na ndo maana marekani inabadhiri kuwa aina hiyo inawezakuwa imetoka Iran na ndipo hao kukanusha hivo Haina maana kuwa silaha zimeisha Kwa vita ipi sasa bomu tu ndo...
Back
Top Bottom