Kwa mujibu wa sheria ya viapo (The Notaries Public and Commissioner for Oaths Act) inamtambua wakili kama mmoja wa watu wa kushuhudia viapo. Sasa kama huko Mbeya wakili alishuhudia na Tume ikakataa kiapo (kama hakina dosari nyingine za kisheria), mhusika angeweza kuchallenge huo uamuzi kwa...
Kuna post(s) ukizisoma unaweza kujiuliza huyo mtu anatumia nini kufikiri. Mimi nilifikiri tungejadili kwa kutizam contents za ujumbe, je ni valid? Kama sio valid, ukweli usemwe. Sio kuhamisha mjadala kwa kuingiza uchama. Je, walichokisema kina ukweli au uongo kiasi gani..
Waraka umeshatolewa na umeshasambaa. Tutafakari maudhui yake kama yana mantiki. Kama huwa tunaomba watuombee, basi si vibaya pia tukasikiliza ushauri wao halafu tuone kama kuna cha kubeba au tuuache kama ulivyo.
Kuna maandiko mengine ukiyasoma unashindwa kuelewa dhamira ya anayeleta andiko hilo. Hili andiko hata mwanafunzi wa darasa la saba hawezi jenga hoja ya aina hii
Matapeli wa aina hii hupendeza sana kama taarifa zake zingeambatana picha yake. Inawesekana wengine hawamjui kwa jina hilo, ila wakiona picha ni rahisi kumtambua na kujitokeza kutoa ushahidi kituo cha polisi anachoshikiliwa. Ni wazo tu
Heshima ni kitu kidogo sana, lakini huyu mwenzetu alichokiandika humu na kumhusisha nacho Dk Salim kwa kweli ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Watanzania hatuna hulka ya aina hii.
Naona alitaka awe wa kwanza kuhabarisha umma. Katika uandishi wa habari tuna kitu kinaitwa News Values na hizi ni pamoja na truth na accuracy. Tukio linaweza kuwa la kweli lakini likawa taarifa zake ulizoziwasilisha kwa umma zikawa sio accurate. Leo sio Jumapili, pili eneo lililorushwa mabomu...
Kada wa CHADEMA katika Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Anitha Swai, ameuawa na watu wasiojulikana na maiti yake kuokotwa eneo la TPC, umbali wa takribani kilometa 5 toka Moshi mjini, huku gari lake likipatikana limetelekezwa eneo la Bomambuzi
=========
Kada wa CHADEMA katika Jimbo la Hai...
Picha za rangi kwa Tz zililianza mwishoni mwa miaka ya 70 lkn nyingi zilioshewa nje ya nchi. Mitambo ya kuosha colored nafikiri miaka ya 80 na mashine zote zilikuwa Dar. Je, hiyo picha (kama ni ya Mwigulu kweli) ilipigwa mwaka gani?
Binafsi ni mtumiaji wa hizo taxi kwa kweli gharama zao ziko chini na salama. Huwezi nishauri kamwe nitumie usafiri mwingine kwa kigezo cha kulinda ajira za ndani. Never. Uber wana customer care nzuri na ni waaminifu. Nilikuwa nikitoka Airport hapo Dar kwenda Sinza taxi za kawaida wanataka...
Ndugu zangu,
Wafanyakazi wa kampuni za simu kutoa ushahidi mahakamani si jambo geni hata kidogo. Hoja ni aina gani ya ushahidi unaenda kutolewa? Mathalan, kama VODACOM wanaenda kutoa ushahidi nani ni mmiliki wa hiyo line(s) bado mtasema ni kutoa siri za mteja? Mpaka sasa hili jambo limejengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.