Recent content by Daniel Mbega

  1. Daniel Mbega

    Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

    Jamani msifanye mchezo, Corona inaua. Marekani hali ni tete!!
  2. Daniel Mbega

    Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications

    Wakuu, Nimekuwa mbali kidogo na mji pamoja na mtandao. Ukiachilia mbali hili janga la Corona ambalo kila mmoja analisikia, mambo mengi yamekuwa yakinipita kama yanavyowapita ndugu zangu wengi wa vijijini. Ninauliza tu, maana nimesikia juu juu - kwamba ndani ya miezi miwili kasoro, ndugu yangu...
  3. Daniel Mbega

    Askofu Gwajima: Nimeshatoa taarifa TCRA, nimewataka wamkamate aliyenichafua kama wanavyowakamata wengine, La, Jumapili patachimbika sababu namjua

    JokaKuu ni sawa usemavyo. Lakini angesema basi kwa kifupi MIMI SIYE au SIHUSIKI kuliko kueleza maneno mengi ambayo yamezidisha maswali.
  4. Daniel Mbega

    Askofu Gwajima: Nimeshatoa taarifa TCRA, nimewataka wamkamate aliyenichafua kama wanavyowakamata wengine, La, Jumapili patachimbika sababu namjua

    Wakuu, Nimesikiliza na kufuatilia yanayoendelea baada ya kuvuja kwa clips za video 'zinazodaiwa' kuwa ni za Askofu Josephat Gwajima akijirekodi wakati akifanya 'uzinzi'. Sitaki kusema findings zangu kwa sasa kwa sababu naendelea kufuatilia na kuchunguza suala hili. Kilichonisukuma kusema ni...
  5. Daniel Mbega

    Jesca Msambatavangu ndiye nyoka wa SHABA, CCM Iringa Mjini

    Ndugu yangu, ningekushauri tu uangalie zaidi kilichokupeleka Iringa ambacho ni kusimamia afya za binadamu. Hayo masuala ya siasa, hasa za hapo Iringa, huwezi kuyaelewa na yaache yalivyo - siyo kwamba tunakukatisha tamaa ama kukupuuza, bali tunakwambia ukweli. Hujui lolote la siasa za iringa...
  6. Daniel Mbega

    Tanzania ina wahasibu na wakaguzi 8,000 tu wenye CPA za Bongo!

    Duh hapo mkuu kweli umeenda mbali. Hizi nyingine ni taaluma. Huhitaji kutumia nguvu.
  7. Daniel Mbega

    Tanzania ina wahasibu na wakaguzi 8,000 tu wenye CPA za Bongo!

    Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) imesema kwamba Tanzania ina uhaba mkubwa wa wahasibu wenye CPA (Certified Public Accountant) ambapo kwa sasa walio na sifa hizo ni 8,000 tu nchi nzima waliofanya na kufaulu mitihani inayotolewa na taasisi hiyo ya umma. Kwahiyo, NBAA wanasema...
  8. Daniel Mbega

    Kutoka Uamsho hadi kupinga uhalali wa Muungano mahakamani. Nani yuko nyuma yake na kwanini?

    Tukumbuke Mwalimu Nyerere alisema, wakitoka kuuvunja Muungano watageukiana wenyewe kwa wenyewe, kwamba "Hawa Wazanzibari na wale Wazanzibara!" halafu wataendelea: "Hawa Wapemba, wale Waunguja!" Na hawataishia hapo, watasema: "Hawa Wangazija, na wale Wagunya!" Ukishazowea kula nyama za watu...
  9. Daniel Mbega

    Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

    Ndiyo maana nikasema hii habari imelishushia hadhi gazeti makini kama TanzaniaDaima. Purely Yellow Journalism. Unless waseme kwamba wameamua kuiweka kwa 'shinikizo', vinginevyo hawakwenda beyond the doubts.
  10. Daniel Mbega

    Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

    Ningefurahi zaidi kama hata sura ya huyo anayejiita 'aliyemtishia Nape bastola' ingeonekana hapa. Kwa teknolojia ilivyobamba, sidhani kama wabunge wote hao, akiwemo mwanahabari dada yangu Esther Bulaya, walishindwa hata kumfotoa ili walau watu waone sura yake na kuilinganisha na ile ya wakati...
  11. Daniel Mbega

    Nakubaliana na kauli ya Mwalimu Nyerere, kweli siasa ya ujamaa haikushindikana bali haikujaribiwa

    KAMA kuna kitu ambacho Mwalimu Nyerere alikiabudu – mbali ya Mungu kupitia katika imani yake ya Kikatoliki – ni Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyozaliwa ndani ya Azimio la Arusha, ambayo aliendelea kuihubiri na kuitetea kwa nguvu zake zote hadi kikomo cha uhai wake. Kila alikokwenda daima...
  12. Daniel Mbega

    Kutoka Uamsho hadi kupinga uhalali wa Muungano mahakamani. Nani yuko nyuma yake na kwanini?

    Miaka kadhaa iliyopita kulizuka kundi lililojiita UAMSHO ambalo lilisajiliwa kama JUMIKI (Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam) mwaka 2001 kwa Hati ya Usajili Na.149 chini ya Sheria ya Jumuiya katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Sheria Namba 6 ya mwaka 1995 inayohusisha usajili wa...
  13. Daniel Mbega

    Mahakama ya Afrika Mashariki yaiondoa kwa muda kesi ya Uhalali wa Muungano

    Nakubaliana kabisa na wewe Brother. Najiuliza maswali mengi lakini nakosa majibu. Lakini ajabu ni kwamba, humu ndani kuna watu wanashabikia kila jambo bila hata kulifanyia tafakuri. Ukiwaeleza ukweli ulivyo wanapiga kelele na wanakuona wewe hujui - wao ndio wanaojua. Time will tell. DM
Back
Top Bottom