Kikao cha Waziri Mkuu na Lengai Ole Sabaya ni dalili tosha ya imani kubwa ambayo serikali inayo kwa vijana wachapajazi kama Sabaya.
Unaweza ukawaza au kusema chochote lakini Ole Sabaya ni miongoni mwa vijana ambao wana uwezo mkubwa wa kusimamia wanachokiamini na kikatendeka.
Binafsi namuona...
Siasa za makundi ziliathiri sana mfumo wa chama chetu.Waliokuwa na maamuzi ni wale waliokuwa na fedha hata kama hawana sifa za kuongoza chama.CCM mpya inayojali watu kwa sifa zao na si fedha zao naiona sasa.Magufuli apewe chama akifue na kukinyoosha kwa pasi ya umeme ili kuua kunguni...
Sikubakubaliani na hiyo hoja angalau wewe umesema waislamu wapo takribani 20% vipi sisi Wa Adventista Wasabato mbona hata 1% hatufiki lakini hatulalamiki? Ikifika wakati tukaanza kumwamrisha Rais amteue Nani kwa nasaba za dini zetu tutaligawa taifa.Au ulitaka uteuliwe wewe ndipo ujue waislamu...
MAGUFULI AJENGE CCM MPYA.
Tarehe 23.7.2016 Chama cha Mapinduzi CCM kitaingia katika zama mpya ya kuongozwa na M/kiti mpya Mh John P.Magufuli. Naita ni zama mpya kwani ni mategemeo yangu na wanachama wenzangu wa Chama hiki bora Afrika kuwa mfumo mpya wa Chama chetu ni lazima uanzishwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.