Recent content by Daniel J Seni

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee Mkuu wa nchi anapokwenda kusali Press huandaliwa

    I don't think so. Ibada ni mbele za Mungu. Kama vyombo vya habari vikiripoti ni sawa tu na ni vizuri lakini IKULU kutoa taarifa kwa vyombo vya habari siungi mkono, maana kama ni hivyo yeye hakwenda kuabudu bali alikwenda kujionyesha. Wanasiasa wengi hawamjui Mungu na utendaji kazi wake. Hata...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Rushwa upatikanaji vyeti kwa wahitimu UDSM

    Sawa! Lakini ukichunguza vizuri kuna tatizo upande wake. Unajua pale ni taratibu kufuata tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Rushwa upatikanaji vyeti kwa wahitimu UDSM

    Hakuna kitu kama hicho! Wenye madeni ndo wanapata shida hizo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

    Wewe hujasikia kauli ya SLOW SLOW kwamba Chadema tunawamaliza wiki hii? Soma nyakati utaona bro Post sent using JamiiForums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya kinauzwa

    I think you might like this book – "DHANA YA MAFANIKIO: Kwa Mawanda Mapana ya Kitheolojia Start reading it for free: DHANA YA MAFANIKIO: Kwa Mawanda Mapana ya Kitheolojia (English Edition) We need your comment on this Post sent using JamiiForums mobile app
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wasamaria:Fahamu chanzo chao na kwanini walikuwa hawachangamani na Wayahudi!

    Great Post sent using JamiiForums mobile app
  7. D

    JamiiForums Tanzania B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa Mil 425 marekani arejea Tz

    Mwanae kabisa. Yule mtume by the way ana hela ya kutosha kabisa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Ndg ni kweli tunaweza kushabikia kisiasa suala hili, lakini katika hali halisi Mdee hakupaswa kufanyiwa hayo! Inauma sana unapoona watu wanaojinasibu kufuata sheria wanavunja sheria mchana kweupe. Halafu, hebu tufikiri, nini Kosa la Mdee? Mie sioni kosa lake kabisa kwa sababu hata kama angesema...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kusajili taasisi za kidini

    Mtu yeyote anayejua namna ya kusajiri taasisi za Kidini kwa hapa Tanzania anisaidie tafadhali. (Un urgent need)
  10. D

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Serikali inalifanyia kazi. Raia wa kawaida haruhusiwi kuhoji
  11. D

    JamiiForums Tanzania Je TanzaMwanga ina kibali cha kutukana watu?

    Hivi yale wanayopst Tanzamwanga, kweli wewe kama ni raia wa Tanzania au kama ndugu yako akifanyiwa hivyo (just imagine) utafurahi kweli? Biblia inasema LOLOTE UNALOTAKA UTENDEWE NA MWINGINE, MTENDEE VIVYO HIVYO" hiyo ndiyo "golden rule" ya maisha! Lakini nani anayependa yanayopostiwa na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Je TanzaMwanga ina kibali cha kutukana watu?

    Nani anayemiliki Acount ya facebook ya Tanzamwanga? Ina maana hiyo imepewa kibali na TCRA kutukana watu? Kudhalilisha watu? Kama ni habari za uchochezi ziko hapo? Je ndo siasa za Tanzania hizo? Tunataka mwenye taarifa na huyu mmiliki wa acount tumshitaki. Sina interest na siasa lakini siwezi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    Ndugu mwenyekiti! Nilisikia eti Chadema kimenunuliwa?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Who voted for Trump?

    Watu wana siri sana
Back
Top Bottom