Je TanzaMwanga ina kibali cha kutukana watu?

Daniel J Seni

Member
Nov 7, 2016
14
9
Nani anayemiliki Acount ya facebook ya Tanzamwanga? Ina maana hiyo imepewa kibali na TCRA kutukana watu? Kudhalilisha watu? Kama ni habari za uchochezi ziko hapo? Je ndo siasa za Tanzania hizo? Tunataka mwenye taarifa na huyu mmiliki wa acount tumshitaki. Sina interest na siasa lakini siwezi kuona wazee wanatukanwa kana kwamba ni watoto wadogo.
 
waachie TCRA. wewe kula dona na dagaa utulie zako
 
Nani anayemiliki Acount ya facebook ya Tanzamwanga? Ina maana hiyo imepewa kibali na TCRA kutukana watu? Kudhalilisha watu? Kama ni habari za uchochezi ziko hapo? Je ndo siasa za Tanzania hizo? Tunataka mwenye taarifa na huyu mmiliki wa acount tumshitaki. Sina interest na siasa lakini siwezi kuona wazee wanatukanwa kana kwamba ni watoto wadogo.
Tanzagiza alishatekwa na kuuawa nadhani
 
Hivi yale wanayopst Tanzamwanga, kweli wewe kama ni raia wa Tanzania au kama ndugu yako akifanyiwa hivyo (just imagine) utafurahi kweli? Biblia inasema LOLOTE UNALOTAKA UTENDEWE NA MWINGINE, MTENDEE VIVYO HIVYO" hiyo ndiyo "golden rule" ya maisha! Lakini nani anayependa yanayopostiwa na Tanzamwanga? Hata wale Tanzagiza wakati mwingine kuliķuwa na vitu vya kipuuzi walikuwa wakipost. Swali langu, je hii ndio siasa ya Tanzania?
 
Nani anayemiliki Acount ya facebook ya Tanzamwanga? Ina maana hiyo imepewa kibali na TCRA kutukana watu? Kudhalilisha watu? Kama ni habari za uchochezi ziko hapo? Je ndo siasa za Tanzania hizo? Tunataka mwenye taarifa na huyu mmiliki wa acount tumshitaki. Sina interest na siasa lakini siwezi kuona wazee wanatukanwa kana kwamba ni watoto wadogo.
Fata mambo yako
 
Back
Top Bottom