Recent content by Dangote the advocate

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

    Kinachomsumbua Dr slaw ni uroho wa wa madaraka.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri Used Samsung note 10 plus

    Naomba ushauri nataka kununua used Samsung Galaxy note 10 plus je ni nzuri?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kada aliyefukuzwa kwa kutomheshimu Rais Mwinyi adai kuna jambo linafichwa kujiuzulu kwa Waziri Simai

    Anayepeleka maendeleo Zanzibar ni samia kwa fedha za bara na si mwinyi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Remote ya kisimbusi cha startimes.

    Remote yangu imeharibika nataka nipate mpya napata wapi na bei yake nipo dar es salaam.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Akili za wanachuo wengi zimekaa kipigaji na kutaka zaidi ya mlichokubaliana ukiwaweka madukani, kwanini?

    Weka camera unarecord na kuona mienendo yote dukani.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

    nilichojifunza kazini ni sawa na vitani kila mtu anapigania maisha yake na hakuna rafiki wa ukweli kazini.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Gari kunyonya betri na waya wa positive kupata moto sana.

    Kumbe betri lilikua bovu nililouziwa nimeenda kubalisha gari imekua poa.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kupima gari kwa computer ni gharama gani?

    Gari yangu inasumbua kwenye mfumo wa umeme nilitaka kujua kupima kutumia computer ni shilingi ngapi.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Gari kunyonya betri na waya wa positive kupata moto sana.

    Nyongeza ni kuwa waya wa positive unapata moto sana pale ninipojaribu kuiwasha.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Gari kunyonya betri na waya wa positive kupata moto sana.

    Nina gari yangu toyota nadia ilianza kusumbua baada ya kuacha taa wazi na kukuta imenyonya betri yote so inasumbua kuwaka nikahisi betri bovu nikanunua betri mpya ila tatizo ni lilelile msaada tafadhali.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Je, Machinga wa Kariakoo waliondoka au bado wapo?

    Ndugu zangu wengine tupo vijijini hatujui kinachoendelea mjini je machinga kariakoo bado wamegoma au waliondoka. Asante
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije kuoa mwanamke ambaye hajalelewa na wazazi wote wawili

    Brother inawezekana hii ndiyo sababu kubwa
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije kuoa mwanamke ambaye hajalelewa na wazazi wote wawili

    Oa ila msome sana kabla hujaoa unaweza kujuta maisha yako yote unaishi na mwanamke kama upo na mwanaume mwenzio.
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije kuoa mwanamke ambaye hajalelewa na wazazi wote wawili

    Uolewe ila kama wewe ni mwanamke inatakiwa kuwa makini nakujifunza namna ya kuishi na mume kwani mwanamke ambaye hajalelewa na baba wengi akiolewa anakuona mume wake kama mtu mwingine wa mtaani tu.
Back
Top Bottom