Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
Mimi naamini kabisa CDM na viongozi wake hawana wala hawafikirii swala la udini, lakini sura ya chama chao inasema tofauti kabisa. Hivyo wanapaswa kufanya bidii kufuta hiyo sura. Hawajawahi simamisha Mgombea Urais Muislamu, wala kuwa na kiongozi mkubwa Muislamu, ni chama kikubwa lakini ni dhaifu...
Ni wabunge gani waliopo bungeni wamehudumu kwa muda mrefu zaidi?
Nani anashikilia rekodi ya kuhudumu kwa muda mrefu zaidi? Muda wa wastani wa mbunge kuhudumu ni miaka mingapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.