Recent content by Dancan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nakerwa sana na huu ushindani wenu wa vyuo na kozi...

    Mkuu tuma pm kwa PERRY,ndiye aliye na huu ujinga
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali ; Rav 4 vs Pajero io vs Suzuki Escudo v6 vs Suzuki Escudo Vitara .

    Ukitaka jibu jiulize kwanini wachaga wanapenda hizo rav 4?
  3. D

    JamiiForums Tanzania kwa wale wa MUCCOBS anaetaka chumba/getto/hostel

    We mtoa mada jaribu kuwa mstaarabu,naona ume post ili ujifuraishe. Nina wiki zaidi ya mbili niliku pm lakini hujajibu mpaka sasa. Inawezekana wewe ni mwanafunzi wa Old Moshi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mwanafunzi wa kupanga nae chumba

    Karibu tupange pamoja mimi nimetokea tanga,ila masuala ya usafiri popote nitagaramia mimi,hata msosi wa usiku usikupe shida,ukitaka kwenda bukoba kila wikendi nitakupa nauli,
  5. D

    JamiiForums Tanzania CCM Yapumulia Mashine, Yageuka SACCOS

    mböna wanachelewa,hawajui tayari tupo kimakundi,jamani njooni.nipo tayari kupewa kadi 3,ila 2015?????
  6. D

    JamiiForums Tanzania CCM Yapumulia Mashine, Yageuka SACCOS

    njooni Arusha tayari kuna makundi yakutosha.itakua kheri sana,nitachukua hata kadi tatu,raha sana kurudishiwa kodi yangu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa heslb

    Inauma sana,ukiangalia hata waliopewa mkopo,sio wote wamependa kusoma hizo program.ndio maana unaona kila sekta kuna matatizo,
  8. D

    JamiiForums Tanzania Exile mavyuoni...!!

    unaelekea azimio hostel?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde mliopo vyuoni!!

    Ingekua vizuri pia kwa wale wanaojipamba kwa majina ya vyuo wanavosomea wapate ujumbe huu.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde mliopo vyuoni!!

    mbona unawai ivo kilimanjaro? Si bado wiki moja?
  11. D

    JamiiForums Tanzania UDSM: NI vilio 2 baada ya supp"16/9/2013

    mhh perry, mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadam ni mchungu,we si ndio unayeleta mada za vyuo humu. Mpigamsuli endelea na game,hakuna droo yoyote na perry
  12. D

    JamiiForums Tanzania Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    si imeandika kuwa walikuwa na deki(itakuwa walishaficha tv) ,sola pamoja na betri,
  13. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwaheshimu viongozi wetu tafadhali

    Mkuu nakubaliana na wewe lakini ukweli ni kwamba viongozi wetu wanatakiwa kwanza wawe na heshima na ndio waheshimiwe. Mimi mwenyewe siwezi kumheshim mtu yeyote ambaye yeye mwenyewe hajieshimu.sasa nitamheshimu kwa lipi wakati yeye mwenyewe kauli zake na mazungumzo yake yanapotosha?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili polisi

    Nimekupata. Over
  15. D

    JamiiForums Tanzania mishahara mipya!

    E,F na G ndio ngazi gani?
Back
Top Bottom