Recent content by Dan08

  1. D

    JamiiForums Tanzania Pres. Magufuli: Don't Put Your Sub-ordinates on Short-Leashes (ala Kilango)

    Tulia utumbuliwe vizuri
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    wewe acha ubaguzi,huo ndo nyerere aliita ukaburu,na sidhan kama kila ulichosema na sahihi,ni utashi wako,hata hivyo hao wanajua mitaa ya kariokoo wamefanya nini hadi sasa(unawajua)
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mecky Sadick apongeza uteuzi wa Makonda baada ya kumwapisha ofisini kwake leo

    mmh hizi na ni sifa?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dodoma - Nov 4, 2014

    sasa mbona anapoteza Muda haongei mambo muhimu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwanasheria mkuu atoa taarifa kwenye vyombo vya habari

    sasa wao ccm si walikuwa wanaendelea kana kwamba wataweza bila ukawa..zege wamelikoroga lazima walinywe
  6. D

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    :lying: :smile-big: :lying:
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ughaidi, CCM tusipuuzie

    video ipi nape anayo wadau?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Pinda: Bomu lilikuwa la Kijeshi na lilitengenezwa China

    Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema bomu lililolipuka katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CHADEMA tarehe 15 june lilitengenezwa China na ni bomu linalotumiwa kijeshi.Aliyasema hayo kwenye hospitali ya Sellian baada ya kuwajulia hali majeruhi.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Pinda: Bomu lilikuwa la Kijeshi na lilitengenezwa China

    sidhani kama ni kukurupuka,alichosema pinda ni uchunguzi wa bomu hilo,naomba niseme nilikuwa mmoja wa wanainchi tuliopata nafasi ya kuhudhuria mkutano huo,hizi ni habari za kweli na nimesikia kwa masikio yangu,kama bado uamini subiri vyombo vingine vya habari vitaripoti tuu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Pinda: Bomu lilikuwa la Kijeshi na lilitengenezwa China

    waziri mkuu mizengo pinda amesema uchunguzi wa awali wa bomu lililoripuka kwenye mkutano wa chadema juni 15 limetengenezwa China na ni la kijeshi,vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi.ameyasema hayo kwenye hospital ya sellian baada ya kuonana na majeruhi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    ni kauli gan,tujuze na wengine tuweze kuichambua
  12. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,sharti miili hii iliyojaa uharibifu ife alufu tuvae miili ya roho..kwa hiyo miili ya roho hakuna kuoa wala kuolewa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Yesu akajibu,akamwambia amin amin,nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuuona ufalme wa Mungu..(yohana 3:3),..Yesu akajibu amin amin nakuambia,Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuingia ufalme wa Mungu,(yohana 3:5)
  14. D

    JamiiForums Tanzania Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda!

    pole,tofauti ni hii.... Basi tuseme nini juu ya hayo?Mungu akiwapo upande wetu ni nani aliye juu yetu,yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote,atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye. (warumi 8:31-32,)....na warumi 8:37 inasema,Lakini katika mambo...
Back
Top Bottom