Recent content by Dan Mitimingi

  1. Dan Mitimingi

    JamiiForums Tanzania Nassari: Wanaopinga juhudi za serikali ya awamu ya tano wana matatizo

    hapana hajasema ni vichaa
  2. Dan Mitimingi

    JamiiForums Tanzania Nassari: Wanaopinga juhudi za serikali ya awamu ya tano wana matatizo

    Mwandishi wa gazeti la Uhuru aache ushabiki wa kijinga na uzushi. Nadhani hilo gazeti la wana ccm tu. Mara nyingi huwa wanaandika uongo.
  3. Dan Mitimingi

    JamiiForums Tanzania Mugabe mgombea urais 2018

    Mugabe amechoka awaachie VIJANA
  4. Dan Mitimingi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela

    Lakini mbona Dr. Malecela anetoa ufafanuzi? Inamaana wanafanya kwa kuogopa
  5. Dan Mitimingi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yathibitisha ununuzi wa Ndege aina ya boeing 787

    Iliponunuliwa ndege ya rais wakati wa Mh.Basil P. Mramba Bunge liliidhinisha Bajeti yake kama sikosei. Ila sina uhakika kama kila kitu serikali ikitaka kununua ni lazima ipitie bungeni
  6. Dan Mitimingi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Hivi wanataka nini HAWA police?
  7. Dan Mitimingi

    JamiiForums Tanzania Ratiba LigiKuu mzunguko wa pili, manara ahaidi kutembea "Uchi".

    Haji manara asikurupuke kujibu waandishi
  8. Dan Mitimingi

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

    Hivi kwani mahakama haiko Huru mpaka watu wanatilia Mashaka
Back
Top Bottom