Recent content by Damdeok

  1. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi

    Ndugu wana JF na yeyote atakaeona uzi huu, Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuleta kwenu ombi kwa anaefahamu au mwenye connection au umesikia sehemu kuna nafasi za kazi naomba nina vijana wangu wawili wamemaliza masomo yao (Bachelor degree) Mmoja ya Project Management na mwingine ya Urban...
  2. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Mbona wanyama hawana daktari bingwa?

    Dah andiko hili limenifanya nimkumbuke Pdidy
  3. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

    Kwani google inafanyaje kazi? Google inakurahisishia wewe kupata majibu kutoka kwenye site mbalimbali. It's just a search engine kama zilivo bing, duckduckgo, yahoo, baidu, naver, AOL, na nyingine kibao. Ulipojibiwa hivo angalia ni site gani iliyokujibu ndo uichukulie hatua
  4. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wanafunzi 12 wakamatwa wakivuta Bangi vichakani

    Bring back viboko
  5. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kufanya ukiwa umechoka kila kitu

    Umeongea vizuri sana na ni kweli kabisa however natamani kufafanuliwa kidogo. Haya ni matendo yanayotokea voluntarily au? Tunafahamu miayo sio kitu ambacho mtu anaamua. Siku hizi mtu akichoka pia anakimbilia Instagram, Twitter na mitandao mingine ya kijamii hiyo inakaa sehemu gani mtaalamu.
  6. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Kwanini mlalamikaji asanuke baada ya chitaaki chikaki kutoka?
  7. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Viongozi mtatuua kwa sonona

    Tukitumia mkaa kupikia mara moja tunaambiwa ni sawa na tumevuta fegi 300. Vile vile tunachafua mazingira (Carbon) Na tunaambiwa tukipikia mkaa mara moja ni sawa na tumevuta sigara 300. Vilevile tunaambiwa tunachafua mazingira hivyo tutumie gesi
  8. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Chagua Moja

    Akachome pori?
  9. Damdeok

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    https://www.necta.go.tz/results/2017/ftna/results/S0140.htm Mzumbe secondary
  10. Damdeok

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    https://www.necta.go.tz/results/2017/ftna/results/S1697.htm Nyumbu Secondary school
  11. Damdeok

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    https://www.necta.go.tz/results/2017/ftna/results/S0681.htm Jaribu hii link itakupeleka ivumwe secondary
  12. Damdeok

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    Mkuu #Hajto ingia kwenye hii link itakupeleka direct shulen kwako. ukifanikiwa utujuze
  13. Damdeok

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    https://www.necta.go.tz/results/2017/ftna/results/S3810.htm
  14. Damdeok

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    Ndo hapa najaribu kuituma link. Ila tatizo link hazifunguki kwahiyo tuvumiliane ntakuwa nascreenshot kidogo kidogo kiongozi. sorry kwa usumbufi
Back
Top Bottom