Chagua Moja

REALITY

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
4,297
1,828
Habari wakuu

Anatokea Mtu anakupa adventure anakuambia uingie porini ukae kwa miezi sita halafu ukitoka unapewa Mil100 ,endapo utakubali anakuambia Chagua vitu hivi viwili A.kisu na kiberiti B.Begi la Mil300 ,unachagua chagua lako,unapanda pipa unaendwa shushwa kati kati ya Amazon,unapewa GPS ,Anakuambia Goodluck i will be back in 6 months to come i will find you,je.

Utachagua kipi na ukumbuke chochote utachochagua ukatoka mzima Mil 100 ipo mezani
 
20221228_141647.jpg
 
Huyo wa kukupa mill 100 ukakae porini ana kazi gani na wewe.....I mean utoke salama usitoke salama anapata faida gani anapata hasara gani?
 
Moto ni lazima uwake na kiberiti mkuu
Unaweza kupikicha miti pia
Ila kama ni ku survive kwenye mapori ya Amazon hela za nini ?

Hela hazinisaidii ila kuna watu watachagua hela hapo haha
Labda ungeweka Koleo, kamba na shoka
Halafu kiberiti,kisu hapo nichague A au B
 
Unaweza kupikicha miti pia
Ila kama ni ku survive kwenye mapori ya Amazon hela za nini ?

Hela hazinisaidii ila kuna watu watachagua hela hapo haha
Labda ungeweka Koleo, kamba na shoka
Halafu kiberiti,kisu hapo nichague A au B
.hela huendi hata siku 3
 
Home of Great thinker.

Fikra za vijana WA kitanzania,
Tamaa za Fedha.
Njaa.
Nk.

FIKRA MFU.
ELIMU.
ELIMU.
ELIMU.
Maisha sio kuwa too serious muda wote take it easy hata kurelax ufahamu kosa kweli elimu elimu elimu
 
Back
Top Bottom