Recent content by damcon

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa logistics sumbawanga

    Tunatafuta mtu wa kufanya kazi za logistics za magari mwenye elimu kuanzia kidato cha nne awe na umri zaid ya 25 years,awe anaweza kuishi sumbawanga mshaharaha laki 3,Awe anajua computer.cv atume chriss@equpointproperty.co.tz
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa sells watatu

    Natafuta mtu wa marketing mwenye uzoefu kwenye transportation sector pia ambaye ana uzoefi na maswala ya sells. Awe mwenye elimu kuanzia diploma,umri chini ya miaka 30 anayejua computer system kama atakuwa kafanya kazi kampuni za tracking kwenye sells will be advantage. contact...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

    Huyu mbunge wangu nimekuwa nikifuatia kauli zake ila nilichokiona ni mnafiki,sio jasiri pia ni muibuaji wa hoja na kurudi kinyumenyume kudai rushwa hili tumempima kwa hoja ya buzwagi,majina ya walioficha hela nje ya nchi,sakata la miradi yenye giza la rushwa nssf akiwa kamati ya PAC.nitaweka...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mobile crusher au mtu anayeuza kokoto mikoa ya Ruvuma na Iringa

    Wakuu, Nina mradi unaohitaji kokoto mwenye mobile crusher au mwenye kujua chimbo za kokoto nyeusi Ruvuma. Tuwasiliane 0652715232
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mobile crusher

    Wakuu nina mradi wa barabara natafuta mobile crusher kwa kokoto.mwenye nayo wasiliana 0652715232
  6. D

    JamiiForums Tanzania IT sells natafutwa

    tunahitaji IT sells mwenye uzoefu katika transportation sectors,product zetu ni gps tracking,fuel tracking,asset management.kama ushafanya kazi kwenye tracking companies au una convinsing power for selling pls apply chriss@equpointproperty.co.tz au contact 0652715232
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nani amekula pesa za Lami, Kituo cha Mawasiliano Ubungo na Makumbusho Kijitonyama?

    Kitendo cha stendi ya Ubungo kuwa giza totoro kwa kukosekana taa na abiria kuibiwa ni ukosefu wa ubunifu wa UKAWA. Wamebaki wanadai ushuru abiria wakati huduma muhimu za vyoo na taa zikiwa hakuna. Hii inaonesha jinsi gani wasivyojali raia. Kubenea tulikutuma utetee wanaubungo na sio kutoka nje...
  8. D

    JamiiForums Tanzania TRA yavuka lengo la ukasanyaji kodi kwa mwaka wa fedha 2015/2016, wazungumzia mapato ya bandari

    Dar es Salaam. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata amesema mapato katika Bandari ya Dar es Salaam yameongezeka katika miezi miwili iliyopita licha ya mizigo inayopitia hapo kupungua. Kidata alisema hayo jana baada ya hivi karibuni Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Katiba kwanza uchaguzi baadaye

    kaka tokea nianze kuisoma jf 2010 wewe unaakili kuliko dr slaa na mwanakijiji katika kuchambua na kuuelewesha uma
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    mwaka huu ccm lazima wazae mabadiliko hakuna jinsi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Lowasa haitaji kura yako tuko wengi tushamua kumpigia anahitaji just kura mil 11 anbapo tayari anazo kampigi magufulu hedwx wewe
  12. D

    JamiiForums Tanzania imethibitika kuwa Lowasa ni kama gogo la ubani

    katika analysis za kisiasa imethibitika kuwa lowasa ni gogo la ubani ukilichoma ndio linazidi kunukia ccm wanavyomsema lowasa ndio watu wanavyozidi kumpenda
  13. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    lowasa ni gogo la ubani ukilichoma ndio linazidi kunukia ccm wanavyomsema lowasa ndio watu wanavyozidi kumpenda
Back
Top Bottom