Baadae utasikia na ubakaji wa watoto....kufanya kazi vijijini ni changamoto mnakuwa wachache wazawa wanachukia sana....hili chuki utakuta mzawa aliyesoma degree zenye bridge course alafu jobless na hamna dalili za kazi.anachoweza ni roho mbaya na fitina
Hama kijijini...mnasumbuliwa na mwalimu wa shule ya msingi....huku tulishawasahau wanaonekana mashuleni tu.sijui wanakaa wapi..huwezi sikia mtu anatamba ye ni mwalimu....KWA HELA GANI NA KWA KIPI ANACHOJUA.....nyie ni watu wa kuwa wanyonge kwa mwalimu hamuwezi kusaidika
Wadau naombeni msaada wenu wa mawazo. Nahitaji kufungua mini market capital na location ninayo.
Tatizo ni how ya kupata good suppliers, system za mauzo,where to get shelves na vinginevyo sijawahi fanya hii biashara I am new to it.
Naomba kuwasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.