Maisha yanakwenda kasi sana, huku joto kali sana na bado tunapewa taarifa kuwa kuna El Ninò inakuja, yaani purukushani kibao. Kila mtu anapitia changamoto za maisha kwa namna yake, wapo waliopoteza wapendwa wao, wapo waliofukuzwa kazi na kuna wengine wanaumwa magonjwa, kila mtu ana vita yake ya...