Nilirudisha Dukani, imerudi Samsung, nasubiri majibu kutoka kwao. ila inavyoonekana tv nyingi kubwa za model hiyo zinarudishwa cz niliwapigia cm juzi wakasema imerudi jana nyingine so sina imani na hizo tv tena, cjui kama watakubali ila nataka LG
Hello wana JF
Nina idea ya kuanzisha biashara ya stationary (vifaa vya jumla jumla), kwa wazoefu wa hii biashara naombeni ushauri, niandae sh ngapi kama mtaji? ondoa gharama za nyumba na thamani za ndani kama meza, shelf na vifaa vingine kama computer, copy, scanner, printer.
yani naitaji...
Kuna hoja tofauti kuhusu uwezo wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara,kwa anayefahamu hili....
Ningependa kufahamu uwezo mkubwa wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini Tanzania na East Africa kwa ujumla, Je, ni uwezo binafsi au kuna njia mbadala walizotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.