43 Samsung J5100 Picture Problem

DAMAS EDWARD

Member
Aug 14, 2012
12
2
Hello Wana JF

Nina Tv ya samsung inch 43, imeniletea langi mbili tofauti, tatizo litakua nini?

upload_2017-4-24_8-24-28.png
 
kama ina warranty ni vyema irudishe,

au jaribu kutafuta flash ieke picha nyeusi halafu chomeka kwenye tv then iache hio tv ionyeshe picha nyeusi kwa muda mrefu inaweza solve hilo tatizo.
 
Ina warrant bado miezi mitatu, hizi tv za samsung huwa zna haya matatizo?
Basi fanya kuirudisha kuliko kulea hiyo shida na wakati warranty cover yako ipo active. Shida ingekuwa kama warranty imeisha maana hawa mafundi wetu wa kitaa ni kwikwi.
 
kama ina warranty ni vyema irudishe,

au jaribu kutafuta flash ieke picha nyeusi halafu chomeka kwenye tv then iache hio tv ionyeshe picha nyeusi kwa muda mrefu inaweza solve hilo tatizo.
Asante kwa ushauri, picha nyeusi inasaidia pia?
 
kama ina warranty ni vyema irudishe,

au jaribu kutafuta flash ieke picha nyeusi halafu chomeka kwenye tv then iache hio tv ionyeshe picha nyeusi kwa muda mrefu inaweza solve hilo tatizo.
ieke=iweke
Hivi huko shuleni huwa mnaenda kujifunza ujinga???
 
hata mi lilinisumbua hivo hivo nikarudisha ilikua haina hata mwezi ..tukasumbuana nikapewa nyingine ila sina amani kabisa .. Nataka nijipange nichukue LG tuu
 
hata mi lilinisumbua hivo hivo nikarudisha ilikua haina hata mwezi ..tukasumbuana nikapewa nyingine ila sina amani kabisa .. Nataka nijipange nichukue LG tuu
Nilirudisha Dukani, imerudi Samsung, nasubiri majibu kutoka kwao. ila inavyoonekana tv nyingi kubwa za model hiyo zinarudishwa cz niliwapigia cm juzi wakasema imerudi jana nyingine so sina imani na hizo tv tena, cjui kama watakubali ila nataka LG
 
Back
Top Bottom