43 Samsung J5100 Picture Problem

43 Samsung J5100 Picture Problem

Nilirudisha Dukani, imerudi Samsung, nasubiri majibu kutoka kwao. ila inavyoonekana tv nyingi kubwa za model hiyo zinarudishwa cz niliwapigia cm juzi wakasema imerudi jana nyingine so sina imani na hizo tv tena, cjui kama watakubali ila nataka LG
Poa mkuu ila mimi nina yangu ya nchi 43 model hiyo hiyo haijasumbua ina mwaka na nusu sasa.
Ila kwakua wameipokea ni vizuri
 
Kwa wale wanaopendelea kufahamu kiundani zaidi kuhusu matatizo ya Tv, fuatilia video hiyo youtube.
 
Back
Top Bottom