Wakishindwa kwenye chaguzi wanawatukana wananchi eti ujinga wa wananchi ndo unaosababisha ccm ishinde! Hafu mnataka kurudi kwa wananchi haohao ambao mnawaita wajinga!!!! Hamna jipya mmeishiwa sera mnabwabwaja tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.