Recent content by dali kimoko

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tabata hakuna umeme tangu asubuhi

    TANESCO Tabata hakuna umeme tokea asubuhi nini tatizo? Tuambiane basi hata kama mnakata ili tuwe tunajiandaa kuwasha koroboi na kandiri.
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    30,000 ni cost ya hotel, acha vinywaji na nauli, so kwa mwezi km una meet nae mara 4 unaeza ona ni gharama kiasi gani.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Nishakata shauri, narudi njia kuu, staki stress km unatka nikupe hilo zigo sema ila utalia
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    vichakani? hotel best 30000/per room.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Dah mmetiririka sana, nadhani ushauri wenu sio mbaya ila naona nibaki njia kuu tu,tunayumba sana wanaume.
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Sorry, sikua nimeona hio ID, NIwie radhi.
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    ushauri #3
  8. D

    JamiiForums Tanzania Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

    hapo chacha yetu masikio na macho.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

    hapo chacha yetu masikio na macho.
  10. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    Tunaomba taarifa fupi mtuambie kwanini umeme unakatika sana kipindi hichi cha awamu ya SAMIA? wakati wa mwendazake hatukuyaona haya, tuseme mna agenda yenu ya siri? Kilichobadilika ni waziri tu ila watendaji ni walewale na miundo mbinu, Kalemani aliwezaje na Makamba anashindwaje? Mimi...
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    No, naruka mkojo nakanyaga mavi bro?
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha hya ya kibongo ukipiga hesabu kudate nae 30,000x4 = 120000/ sasa kwa kipato gani unafanya zinaa tu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la LUKU limerudi tena

    Yani hata mie nshindwa kuelewa, najibiwa mpokeaji kafungiwa sasa Tanescokafungiwa na nani na ndo mpokeaji wa hela, hii nchi ina mambo ya ajabu sana.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mshahara mwezi huu umewahi sana

    Wale wenzangu vipi mambo tayari? mimi kwangu haijasoma.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mshahara mwezi huu umewahi sana

    Nyama bdo ngumu, labda leo .
Back
Top Bottom